Jiji la Arusha chini ya CHADEMA lafanya maajabu

Jiji la Arusha chini ya CHADEMA lafanya maajabu

Ninatamani mameya wa UKAWA waweke number au emails za mawasiliano na public ili wapate michango mbali mbali ya wananchi namna ya kuleta maendeleo sahihi.
Ni kweli mkuu,kuna haja ya kuwa na mawasiliano na na hawa wakubwa
 
Viva ukawa, viva chadema, waonyesheni hawa jamaa wa posho ya 7000/= humu ndani kuwa Upinzani ni hatareee!
 
Eti chini ya Ukawa, mabango yalianza kushushwa hata kabla ya maludio ya uchaguzi.
Miaka mitano back c walikuwa chadema hao hao mapato yalikuwa vipi?

HapaKaziTu
Wanaongelea kukusanya kodi/ushuru wewe unaongelea kushusha mabango, hata akili ya bluetooth tu huna?
 
Hongera Bali bado haitoshi,
Ongezeni bidii ili muendane na kasi ya Magufuri na hata kuonyesha mfano kwa mikoa mikoa na majiji mengine / muwe PILOTS.
 
Kil

Kila kitu kipo under control mkuu, ni mambo ya muda tu na yote yatakua shwari kabisa. Hii ndo Chuga bana aka Geneva of UKAWA ( Africa)
mnapozungumzia ukawa halmashauri ya hapo arusha mnanichanganya. ebu tupieni idadi ya madiwani wa kila chama nione ukawa inaingiaje hapo.
 
Last edited:
Halmashauri ya jiji la Arusha chini ya UKAWA ndani ya miezi miwili limekusanya zaidi ya million 500 kutoka na faini na ushuru wa mabango tu kwa Mara ya kwanza.

Chanzo: Magazetini asubuhi
ARUSHA WANAVUNA MATUNDA YA CCM ILIYOJENGA BARABARA,MAKAO MAKUU YA EAC,UTALII NK.HUU NDIO UKWELI
 
CHADEMA nawakubali sana hawataki mchezo
 
anahojiwa radio 5 amesema kuna ajira kwa mgambo(watu 30)mwisho trh 20...umri 18-25 elimu f4(watapelekwa moshi kwa mafunzo miezi minne).Bada ya hapo watapewa ajira
 
Wala viwavi jeshi povu linawatoka kweli, poleni Arusha inawaonesha mfano siKU NYINGINE FANYENI MAAMUZI SAHIHI CCM NI JANGA, aRUSHA CHAKULA CHA KUTOSHA, MBOGA MBOGA TELE MPAKA JIONI ZINAMWAGWA SOKONI MAHINDI YMABICHI MWAKA MZIMA YANAPATIKANA TENA KWA BEI CHEE KABISA, TUTAANZAJE KUCHAGUA CCM?
 
Maendeleo hayana itikadi ni mipango tu na usimamiaji ambayo yataleta tija kwa taifa hicho ndio wanainchi wanachohitaji
 
Hii halmashauri si miaka yote ipo chini ya chadema
au nao walikuwa wanasubiri kasi ya Magufuli
 
Back
Top Bottom