Jiji la Arusha chini ya CHADEMA lafanya maajabu

Jiji la Arusha chini ya CHADEMA lafanya maajabu

Labda kuwe na Madiwani wenye uwezo lakini wakimtegemea Lema wamekwisha....yule ndugu ni hewa kushinda maelezo.

Yeye umualike kwenye fujo na vurugu ndio uwezo wake utaonekana.
Huyo huyo ndio mbunge kwa mara ya pili na Arusha ndio hiyo inapaa
 
Hongera ila taratibu za tenda zizingatiwe. Tenda za ujenzi na ukarabati zisitolewe kindugu,kikabila wala kiupendeleo na wasijipe tenda hizo madiwani wenyewe au hawara zao.Kuwe na uwazi kwenye tenda
Huo ni uongozi wa kutoka chama makini cdm siyo li ccm wajizi
 
Ninatamani mameya wa UKAWA waweke number au emails za mawasiliano na public ili wapate michango mbali mbali ya wananchi namna ya kuleta maendeleo sahihi.

Wazo lako ni zuri na la ki-maendeleo naliunga mkono. Wadau wanaweza kukuunganisha na mtandao unaoweza kuwapata hao viongozi kwa simu no. na e-mails zao pia.
 
Zikahudumie wananchi zisihudumie matumbo yao tu! Arusha kuna kipindupindu waweke miundombinu vizuri. Arusha maji ni Problem, waboreshe miundombinu ili maji safi na salama yapatikane
Suara la maji kwa arusha ni kipaumbele
 
Hongera ila taratibu za tenda zizingatiwe. Tenda za ujenzi na ukarabati zisitolewe kindugu,kikabila wala kiupendeleo na wasijipe tenda hizo madiwani wenyewe au hawara zao.Kuwe na uwazi kwenye tenda
Unafikiri cdm ni majizi kama ccm?
 
Actually kama JPM anataka kufanikiwa kukomesha wizi, rushwa na ubadhirifu wa mali ya umma; achune uso "akifute" chama chake CCM kwa sababu sera na itikadi yake ni Wizi, rushwa, ujangili na ufisadi!
Upo vizuri sana
 
Halmashauri ya jiji la Arusha chini ya UKAWA ndani ya miezi miwili limekusanya zaidi ya million 500 kutoka na faini na ushuru wa mabango tu kwa Mara ya kwanza.

Chanzo: Magazetini asubuhi
I am the victim to this. Hilo zoezi lilikuwa ni uharibu wa mabango ya watu bila sababu ya msingi, Bango linachukuliwa unakwenda kulipa ada na faini ukienda bohari Bango limeharibiwa kabisa halifai.
 
Wa kichina,,,,walikua wanalazimisha kushinda na maandamano Arusha sasa yamefika mwisho
 
Halmashauri ya jiji la Arusha chini ya UKAWA ndani ya miezi miwili limekusanya zaidi ya million 500 kutoka na faini na ushuru wa mabango tu kwa Mara ya kwanza.

Chanzo: Magazetini asubuhi
Hivi ukawa bado ipo tu
 
Halmashauri ya jiji la Arusha chini ya UKAWA ndani ya miezi miwili limekusanya zaidi ya million 500 kutoka na faini na ushuru wa mabango tu kwa Mara ya kwanza.

Chanzo: Magazetini asubuhi
Faini si chanzo cha mapato. Ni uzembe wa kushindwa kusimamia sheria.
 
Back
Top Bottom