Jiji la Arusha chini ya CHADEMA lafanya maajabu

Jiji la Arusha chini ya CHADEMA lafanya maajabu

Halmashauri ya jiji la Arusha chini ya UKAWA ndani ya miezi miwili limekusanya zaidi ya million 500 kutoka na faini na ushuru wa mabango tu kwa Mara ya kwanza.

Chanzo: Magazetini asubuhi
na zile kandarasi vp bado anapewa zote yuleyule.
 
Viva ukawa, viva chadema, waonyesheni hawa jamaa wa posho ya 7000/= humu ndani kuwa Upinzani ni hatareee!
Na kuna habari za chini chini kuwa Magufuli ana mpango wa kupiga marufuku lumumba kutoa buku 7 sijui jamaa wataishi vipi
 
Bado umeme Wa uhakika,tunapoelekea a.town Meneja Wa tanesco tutampigia kura atoke chadema mapatomeng tunakosa kutokana na mgao tusoujua sababu yake
 
Inaoneka wakaazi wa arusha wanavunja sana sheria.
Mbunge wao ni picha tosha ya walivyo wakazi wa Arusha.....Arusha ndio makao makuu ya NDUMU a.ka shada, GOMBA.....
 
Wala viwavi jeshi povu linawatoka kweli, poleni Arusha inawaonesha mfano siKU NYINGINE FANYENI MAAMUZI SAHIHI CCM NI JANGA, aRUSHA CHAKULA CHA KUTOSHA, MBOGA MBOGA TELE MPAKA JIONI ZINAMWAGWA SOKONI MAHINDI YMABICHI MWAKA MZIMA YANAPATIKANA TENA KWA BEI CHEE KABISA, TUTAANZAJE KUCHAGUA CCM?
Hongereni sana mkuu kwa kufanya uamuzi sahii kwa wakati sahii
 
Wala viwavi jeshi povu linawatoka kweli, poleni Arusha inawaonesha mfano siKU NYINGINE FANYENI MAAMUZI SAHIHI CCM NI JANGA, aRUSHA CHAKULA CHA KUTOSHA, MBOGA MBOGA TELE MPAKA JIONI ZINAMWAGWA SOKONI MAHINDI YMABICHI MWAKA MZIMA YANAPATIKANA TENA KWA BEI CHEE KABISA, TUTAANZAJE KUCHAGUA CCM?
Unanikosha sana nakaribia kuhamia arusha naomba uwe mwenyej wangu
 
Karibu mkuu, usihofu karibu jiji la neema jiji ambalo njaa free karibu uje ule mbuzi lima, mahindi utakula mapaka uombe poo, mboga mboga ndio usiseme mbona utanawii mpaka kwenu wakushangae.
Tehteh kwa kweli nimechoka kuishi dodoma ccm walichotufanyia ni aibu tumekuwa tukiwachagua kwa kishindo alafu mabilioni wanayala hata maji tu wameshindwa kutudanganya nayo kwenye Mwezi wa 3 ntakuja sehem inaitwa kwa morombo nijuze kuhusu upatikanaj wa huduma za msingi
 
Mbunge wao ni picha tosha ya walivyo wakazi wa Arusha.....Arusha ndio makao makuu ya NDUMU a.ka shada, GOMBA.....
Magamba safari hii mtaihama hii nchi maana speed hii ya cdm kuwahudumia wananchi haitawaacha salama machoni mwa watanzania
 
Pamoja mkuu ila hatujamaliza kazi, lazima tuhakikishe Tanzania nzima imekombolewa.
Mkuu naamini kwa speed hii ya huduma bora kwa wananchi toka kwa viongozi wa cdm,ccm haipo salama
 
waelimishe wenzako kuwa halmashauri ya jiji la arusha hakuna ukawa. si kuja hapa na kubweeeeka kwa jambo wasilolijua vizuri. ok?

Mkuu popote ukiona cuf jua inawakilisha ukawa
Ukiona Chadema inawakilisha ukawa vivo hivo na Nccr na Nld...
Naona ukawa wanakujambisha saaana
 
Magamba safari hii mtaihama hii nchi maana speed hii ya cdm kuwahudumia wananchi haitawaacha salama machoni mwa watanzania

Wewe mtu ajabu mumesema mumekusanya sawa, mlichohudumia na hizo hela mlizo kusanya ni kipi? Kiweke hapa.Kukusanya ni kitu kingine na kuonyesha umefanyia nini hela hizo ni kitu kingine.Tupe mchanganuo mumehudumia nini na hizo hela? Usiseme mna spidi ya kuhudumia wananchi mumewahudumia nini weka hapa.
 
Tehteh kwa kweli nimechoka kuishi dodoma ccm walichotufanyia ni aibu tumekuwa tukiwachagua kwa kishindo alafu mabilioni wanayala hata maji tu wameshindwa kutudanganya nayo kwenye Mwezi wa 3 ntakuja sehem inaitwa kwa morombo nijuze kuhusu upatikanaj wa huduma za msingi
Dodoma ndio kichaka cha kukimbilia kwa ccm,cha ajabu wanawaacha wateseke kwa njaaa
 
Wewe mtu ajabu mumesema mumekusanya sawa, mlichohudumia na hizo hela mlizo kusanya ni kipi? Kiweke hapa.Kukusanya ni kitu kingine na kuonyesha umefanyia nini hela hizo ni kitu kingine.Tupe mchanganuo mumehudumia nini na hizo hela? Usiseme mna spidi ya kuhudumia wananchi mumewahudumia nini weka hapa.
Hilo swali peleka hazina utapata jibu lake
 
Back
Top Bottom