Jihadhari na wanaume wa Kikongo/ Kizaire

Kumpenda mtu mpaka uhonge? Ukiona mtu kakupenda baada ya kuhongwa ujue huyo hana mapenzi ya kweli. Ni sawa tu na hao wazaire wanaozungumziwa. Wadada kaeni chonjo mapenzi ya kulazimishana hayafai na hayana mwisho mzuri!
 
wazaire na vile wanavyojichubua hata yeye akiwa ndo tajiri simtaki,na waona kama wako kishoga zaidi.
 
Back
Top Bottom