Jihadhari na wanaume wa Kikongo/ Kizaire

Nasikia wana mauno balaa, mwanamke huna pilika unatulia tuliii jamaa wanashughulika, ukitaka kusikia story zao hawa tembelea salon za kinondoni yaani kule wanawake wamepinda kila mtu na mzaire wake

tatzo wanawake wa cku hzi wavivu, unataka ktandan uwe ume2lia 2 ka gogo mwenzio ndo ashugulike.. Jtaidin bnah sa hz kuna kampen za kurudisha unyago thnk itasaidia kuwafundsha iv v2
 
alikuwa anasifiwa kuwa mama uko shuuuuuuu sana mtu wa watu na mtu ya mapesa mingi mpaka akahonga gari na inaonekana na yeye alihongwa na mwanaume nae akaamua kuhonga nae safi sana hiyo.
 
mwanaume wa kugombania nae caroliti na lipshine dressing table asubuhi nimpeleke wapi ????????????? to hell wakongo
 
Kawaida ya wasichana wa kibongo,kupaparikia wageni,mkitolewa macho labda mtashtuka!!!Damn!!!shame upon you!!hivi unamhonga gari sana sana ananini,eti unamtunza,wanini sasa,au kwa sababu ametoka Kongo!!!******
 
Mmh!mabigi!!huko ni kujidhalilisha jamani!mbona hata wakaka wa kibongo wapo fit tu! Cha muhimu ni kujituma tu!
 
Kweli jamaa wana bakht sana. Kuna mama mmoja alikua mfanya biashara mkubwa lakin aliamua aolewe na mzaire(mcongoman) ambae hakua na kazi wala bazi....mpaka leo wanaishi na jamaa aliongeza mwanamke mwingine...mke wa kwanza hakua na mvuto ila pesa...wa pili ana mvuto kuliko wa kwanza.
Kanda ya nini?
 
Nadhani wacongo wanapo wagusa panawakosha sana hivyo msilalame, ukitaka kizuri gharama unadhani wanaume tunavyohonga magari au nyumba unadhani wazazi wetu tumewanunulia magari na majumba?
Ukiona tunaonga ujue tumeshikwa hivyo tunaamua kushikamana, japokuwa kutoswa ndio kinachofuata, ukiona penzi unalilinda kwa vitu vya thamani na pesa ujue uwezi mambo na wewe ni dhaifu na unayemuonga anakufuatia hivyo unavyoonga.
Wadada nendeni kwa makungwi kama Bi CHAU na wengine watawapeni maujuzi ya kumthibiti mwanaume kunako sita kwa sita, sio mnaangalia porn movies mkadhani ndio ufundi mnaishiwa kuliwa kiboga (tigo) na bado mnatemwa ( kuna wanawake eti wanaamini ukimpa tigo mwanaume akuachi weweee utamwagwa kinyesi na bado utatemwa) Jifunzeni kumthibiti mwanume kitandani na nje ya kitanda uki ukifuzu hakuna mwanaume wa ki congo au kimatumbi atakaye kutosa
 
Hawa ndio akina nani tena! Ni wale wazee wa carolight !! Huwa nawaonaga kama wote ni mab_abw_ vile l.o.l.
 
nasikia wazaire wana dawa, hata kama hujawahi kuhonga kunakuwa na kitu ndani kinakusukuma uuze hata dhahabu zako umpe mzairwaa

Mi nawaza ni nyie tu hapa, shida ni kuwa mnashindwa kuonesha mapenzi kwa ma fie wenyu sasa akitokea mtu akafanya vile anamkoroga kabisa bibi yako, mwanamke anatakiwa kudeka bwana, sasa sie tunawalambula, tunawabeba, tunawatumikia vya kabambe mu kitanda, kwanini wasitupende?
we unaenda mukazi depuit asubuhi haumuiti bibi yako mu telephoni wala hautumi text, ukirudi magharibi hauoneshi mapenzi yoyote unafanya vya ukali tu, sie tunawananawisha bafuni, tunawalambula kila fasi
kazi yenu!

Nasikia wana mauno balaa, mwanamke huna pilika unatulia tuliii jamaa wanashughulika, ukitaka kusikia story zao hawa tembelea salon za kinondoni yaani kule wanawake wamepinda kila mtu na mzaire wake

Nazjaz, umeona jibu hapo? Ndio dawa yao hiyo...
lol
 
Wacongo balaa,waambie kuvaa lebo tu za LUIS VUITTON na perfume za D'or n.k.NDO TUJIFUNZE WADADA
 
hili la msingi. Wasichana tuna shoiboka sana, yaani usisikie mtu katoka nje, unajilengesha.
Lakini ukiwa na Bwana Yesu unaishinda dhambi.

nadhani ni ushamba, lack of confidence, kutafuta sifa za kijinga mtaani, na kukosa exposure kwa madada zetu wengi. hivi mtu hafanyi kazi yeyote zaidi ya kukata mauno, inawezekanaje asiwe na muda mwingi wa kufikiria ubunifu wa ngono?? na hapo pia hamuoni kuwa ngono kwao ndio ajira yao .. sababu asipojitahidi kungonoka ni wazi huyo binti atamuacha tu ... kwanini mtu asijishughulishe?? this kinda sex tourism kama wale beach boys wanaotembea na vibibi vya kizungu (gigolos).

funny thing is, wanaume wa kibongo nao wanashobokewa sana na mabinti wa kikongo; wanaamini tanzania kuna maisha mazuri sana sana, ukienda kule lazima umpate wa kukung'ang'ania uje naye huku umtafutie kazi au uje kumweka kinyumba, so kama umeshawahi fika DRC, hutoshangaa huu upuuzi. Thus being said, hao ni wajasiria mali, wako kikazi zaidi!
 
hila nalo neno la UBONGO

ndo mkome, umebaki ww.. Utaonga mpka nymba mnafkili wazaire wanatofaut gan na wamasai kwann mcwaonge hao ata baiskeli tu..

We boya, Wamasai tena wamefanya nini? Mbona hawa ndg hawahongwagi?? Au wamekula mkeo nini......!!
 
Back
Top Bottom