Jihadhari na simu za mitandao ya Kikorea, China na Marekani

Jihadhari na simu za mitandao ya Kikorea, China na Marekani

Mimi natumia note 3 ya korea(SM N900S) ambayo shida kubwa ni kukosa custom ROM, Wakati nainunua ilikuwa na ROM ya international SM N9005 sasa sijui hata iliwekwa vp kwan kuna muda nilirud stock ya korea sasa nikijaribu kuweka custom ya international inakataa ingawaje mwanzon ndo iliyokuwepo
 
noma sana me nna kitu cha note one
shv-s160e
napata tabu kudadeq
kwanza msg zangu mwisho text 80 na zaid ya hapo ni mms
version hata kit kat sifiki na no update
nimesaka rom ila sijapata kitu na walio juu zaidi yangu wameniambia nisijaribu kwa phone hii ntaiua kabsa
odin haitumiki wala sammobile hakuna roms za hii simu

NATAMANI KUITUPA
Yangu...Lg..nilikuwa..na..tatizo..hilo...la...character 80....ila...nilifanikiwa...kulimaliza...limebaki..tatizo..moja..tu..la..ussd...kutokudisplay...maneno..yote...mf...ukipiga..*148*00#...inaleta..opt...namba...1..mpk..3..zingine..hazionekan
 
View attachment 435906

View attachment 435907

Mkuu nahitaji kujua nafanyaje ili niweze ku-update simu yangu?!
natumia Samsung galaxy s5 kila kitu kipo sawa ila ku-update software systems ndio mtihani
Tatizo hili katikia simu za Samsung sanasan zenye Os 5. 0. 1 na kuendelea ujitokeza pale ambapo uonekana os imefanyiwa marekebisho, kama Imeroot, imeondolewa bootloader hivyo inakulazimu ubadilishe os kwanza then itakubari ku-upgrade
 
Asante mkuu sasa hapa sina njia ya kufanya zaidi ya kwenda kui-flash simu?
 
mkuu kama unasped 1m+ kununua simu nenda moja kwa moja maduka ya samsung, lipo moja jmall mjini, lipo jengine kkoo kipata linaangalizana na stand ya mwendokasi. s7 ni nzuri zaidi kuliko s6.

pia kama unaweza jizuia miezi kama mitatu s8 itakuwa imeshatoka ambayo ni nzuri zaidi.

kuhusu iphone 6s na camera ni nzuri camera yake ila itategemea ulikuwa unategemea nini toka hio camera. bado unayo? kama unayo labda nikupe tip mbili tatu za kupata picha nzuri wakati wa usiku. sometime inakuwa ni setting za camera na sio camera yenye matatizo. iphone ni moja dunia nzima hardware zao hazitofautiani baina ya nchi na nchi

naomba unipe maelekezo hayo ya setting ya camera tafadhali..manake nikipiga picha usiku ni giza tu
 
Na kwasie wakina Windows Mobile inatuhusu ?

Sent from mTalk
 
Kuna simu inaitwa CAT s60,inatengenezwa na kampuni ya caterpillar nataka kununua online, wanasema ni unlocked, je kwa bongo hapa haitakuja kunisumbua.... Kwako mtaalam
 
Kuna simu inaitwa CAT s60,inatengenezwa na kampuni ya caterpillar nataka kununua online, wanasema ni unlocked, je kwa bongo hapa haitakuja kunisumbua.... Kwako mtaalam
unahitaji hio thermal camera? si simu nzuri kwa matumizi ya kawaida vs bei unless ni proffesional unajua unachonunua.

hakikisha unanunua global version ndio itafanya kazi kwenye mitandao mingi ya 4g hapa Tanzania.

angalia full model yake, na sio s60 tu
 
Nina simu yangu Huawei P9 imetoka china kitu O. G sema tatizo haina play store na katoka nayo toka china kanunua kwenye duka la Huawei sema tu haina play store nafanya vp wakuu naomba msaada Chief-Mkwawa
 
Hata mimi nshakuwa na Huawei kama hiyo.. nenda Google search "download Google installer apk", install then fuata maelekezo.
 
Ni kweli Ndugu Mkwawa,kuna hitajika uelewa sana kwenye hizi simu...hasa hii teknolojia ya LTE kwani wenzetu hasa china wanatumia LTE lakini ni aina ya TDD ila sisi huku Tanzania nyingi ni LTE FDD...na masafa(Frequency Band)ni tofauti wenzetu wana makampuni machache ya mawasiliano na Teknolojia ya LTE TDD ni nzuri kwasababu ina kasi nzuri pia inabana matumizi ya masafa na hivyo ni faida kwa makampuni kuliko ile ya LTE FDD.
 
unahitaji hio thermal camera? si simu nzuri kwa matumizi ya kawaida vs bei unless ni proffesional unajua unachonunua.

hakikisha unanunua global version ndio itafanya kazi kwenye mitandao mingi ya 4g hapa Tanzania.

angalia full model yake, na sio s60 tu
Mimi ni mtu wa site, nimeona ina GPS nikajua itanisaidia (for it is engineered for proffesionals ),kuloa kwenye mvua, ugumu wake (hardware ) nk
 
Mimi ni mtu wa site, nimeona ina GPS nikajua itanisaidia (for it is engineered for proffesionals ),kuloa kwenye mvua, ugumu wake (hardware ) nk
aha, kama ni pro sawa, hio gps yake ni special? ina nini cha ziada simu ya kawaida haina?
 
Nina simu yangu Huawei P9 imetoka china kitu O. G sema tatizo haina play store na katoka nayo toka china kanunua kwenye duka la Huawei sema tu haina play store nafanya vp wakuu naomba msaada Chief-Mkwawa
kama alivyokujibu jamaa hapo juu, sema kabla ya kuwa na playstore itabidi uwe na playservice kwanza

simu yako ina store ya huawei? huwa huawei wanaweka playstore kwenye store yako kama utaihitaji, soma zaidi hapa

Installing Google Play / Contact & Calendar Sync - Post #4
 
Simu nyingi za china kwa matumizi ya ndani huwa hawaweki Google play hii ni kwasababu ya mazuio ya kuperuzi kwenye baadhi ya mitandao.Unachotakiwa kufanya kwanza ni kwenda kwenye Advance Setting,kisha Security kisha allow Unknown Sources.Kisha ingia site yenye latest Google play software kisha ipakuwe na kuipakia kwenye simu yako....sasa unaweza tumia Google play yako bila shida!
 
Hivi chief unaweza nipa link nisome kuhusu simu na mambo mengine yanayo husu Tecnolojia kama computer N. k japo tano zile kali kali
mkuu unatakiwa ujijue kwanza unataka kujua nini, site ambazo ni general huwa hazifundishi zinatoa tu habari.
 
mkuu unatakiwa ujijue kwanza unataka kujua nini, site ambazo ni general huwa hazifundishi zinatoa tu habari.
Kweli me napenda kujua mambo yote yanayo husu simu hardware and software na kwenye computer hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom