Jihadhari na simu za mitandao ya Kikorea, China na Marekani

Jihadhari na simu za mitandao ya Kikorea, China na Marekani

Ukitaka kujua simu ni International phone au ni variant kuna kuwa na utofauti kwenye prefix ya phone model number.
Kwa simu za Samsung.
International version = GT-I****
Korean version = SHW-M***or SHV-E***
US/Canada version = SGH-****
Japanese version = SC-***

sidhani kama ina apply kwa simu za sasa mfano s5 za kikorea hazianziwi na shv zipo kma version za kimataifa zinaishiwa tu na k au s

- SM-G9006V_CHN_CHN (China)
- SM-G9008V_CHN_ZM (China)
- SM-G9009D_CHN_CTC (China)
- SM-G900A_NA_ATT (AT&T)
- SM-G900D_JPN_DCM (Japan)
- SM-G900F_EUR_XX (Open Europe)
- SM-G900H_EUR_XX (Open Europe)
- SM-G900I_SEA_XSA (Asia)
- SM-G900J_JPN_KDI (Japan)
- SM-G900K_KOR_KTC (Korea)
- SM-G900L_KOR_LGC (Korea)
- SM-G900M_LA_VF (Vodafone)
- SM-G900P_NA_SPR (Sprint)
- SM-G900R4_NA_USC (US Cellular)
- SM-G900S_KOR_SKC (Korea)
- SM-G900T_NA_TMB (T-Mobile)
- SM-G900V_NA_VZW (Verizon)
- SM-G900W8_NA_BMC (BMC)

zote zinaanza na SM-G900 zinatofautiana tu namba za mwisho
 
Natumia ios 10.1 (14B72)
-issue ya contact jaribu kwenda app ya contacts halafu chagua group halafu hold na kidole then shusha chini uone kama zita refresh contacts

hio brightness hujaeka battery server?

na hio kuchaji kuzima nafkiri itakuwa tu ni ios 10 feature
 
Yangu inaandika phone not allowed [HASHTAG]#mm6[/HASHTAG] ysn network haisomi kabisa mwanzo ilianza inakubali line zote badae nilivyo kua na line ya 4g kwa voda ikawa inasoma dar tu mwisho wa siku zote zikagoma ikabaki kusupport halotel tu sasaiv hata hyo halotel haisom but nikiweka na kuwasha data nakula internet bt network za simu wala sms za kawaida haxikubali yan
 
pengine ina lock, mpaka ui unlock au modem imecorupt inataka kuflashiwa.

pia jaribu kubadili dialer nenda playstore search neno dialer ueke nyengine inaweza pia kusaidia
 
Asante kwa uelewesho wako murua kaka, nimekuuliza hivyo sababu hii iphone yangu nilinunua kwa mtu inafanya kazi fresh kabisa ila kuna baadhi ya vitu ipo tofaut kabisa na iphone zote nilizo wahi kutumia, kwanza hii simu nikiwa imezimwa nikichomeka chaja inaleta kibox cha chaja na inaendelea kuonesha inachaji kitu ambacho sijawahi kukiona kwenye iphone huwa najua iphone ukiichomeka kwenye chaja inawaka yenyewe automatic! Pili hii simu upande wa mwanga brightness hakuna sehem ya kufunga usijiongeze automatic! Tatu hii simu tangia niwe nayo namba za simu hazionekani sababu namba zangu zote naziwekaga kwenye icloud
801467fe34c313c17f8ec4ce932283af.jpg
6b325e0f6a20085fbd4dc076d3f2eef5.jpg

Kweli ni ya tofauti. Yangu ikiisha chaji,ukiweka kwenye chaja inawaka yenyewe.
 
Mwaka 2014 nilinunua HTC flani ya T-Mobile pale kkoo. Mda wote ilikua inasoma 4G tu.
Lakini naona hizi simu zinakua bora zaidi ya international version.
 
Nimependa hili darasa, me ni mmojawapo ya wale wasiojua utofauti wa haya mambo....ahsante [emoji3] [emoji2] [emoji122] [emoji122]
 
Mwaka 2014 nilinunua HTC flani ya T-Mobile pale kkoo. Mda wote ilikua inasoma 4G tu.
Lakini naona hizi simu zinakua bora zaidi ya international version.
kwa uimara ndio inaweza kuwa bora zaidi, na kuna wakati pia zinakuwa na processor bora zaidi, nakumbuka s4 ya korea ilikuwa ya kwanza kuwa na core 8 wakati ya kimataifa ikiwa na core 4.

lakini kimatumizi ya kawaida inaweza sumbua sana, mfano simu haina ussd au simu haina custom rom hata moja unaishi vipi hapo?
 
Na HTC nyingi za Kkoo ni za nje. Mfano kuna HTC moja ya verizon ilikua haisapoti ussd.
Je na windows phone nazo ziko hivyo? Kuna moja ilikua haisapoti ussd. Uwezi kuweka vocha,kuunga bando wala kutuma pesa.
 
Kwani hili tatizo wahusika wakuzuia kuletewa vitu visivyotumika Bongo au international si ni TCRA ........ au haliwahusu,na kama haliwahusu ni nani wa kulidhibiti ....... au si kosa kuleta device isiyotumika kwetu ...........??
 
Dah aise nshaliwa hapa.... Ndio maana nikienda vijijini simu haipati mdandao kabisa aise...... Any help wanajamvi natumia LG V10 na kwa maelezo hayo hapo juu najua natumia korean version
1478769762705.png
 
Kwani hili tatizo wahusika wakuzuia kuletewa vitu visivyotumika Bongo au international si ni TCRA ........ au haliwahusu,na kama haliwahusu ni nani wa kulidhibiti ....... au si kosa kuleta device isiyotumika kwetu ...........??
sio kosa mkuu sababu ni simu original na inakidhi mambo yote, akili kwako mteja
 
Na HTC nyingi za Kkoo ni za nje. Mfano kuna HTC moja ya verizon ilikua haisapoti ussd.
Je na windows phone nazo ziko hivyo? Kuna moja ilikua haisapoti ussd. Uwezi kuweka vocha,kuunga bando wala kutuma pesa.
windows phone 7 ndio hazina ussd. ila nyengine za 8 na 10 zipo sawa.
 
Back
Top Bottom