Jihadhari na simu za mitandao ya Kikorea, China na Marekani

Jihadhari na simu za mitandao ya Kikorea, China na Marekani

Kweli me napenda kujua mambo yote yanayo husu simu hardware and software na kwenye computer hivyo hivyo
ndio hutapata website moja inayocover mambo yote hayo, website zinazoelezea mambo deep huwa zinaspecialize kwenye jambo moja, zipo site za camera, site za cpu, site za acessory, perfomance nk inabidi uanze kimoja baada ya chengine,
 
Nataka ninnue s7 from china its cheap kule je vgezo gani niviangalie kabla sijatuma hela na kutumiwa hyo sim? Msaada wako Chief ili nipate kitu brandnew OG au second hand OG na je naskia siku iz TCRA wanazfungia sa sijui kwel(zinazoingizwa bila kulipiwa kodi)
 
international version model yake ni

SM-G930F

hakikisha unanunua hiyo, kuhusu kufungia zisizolipiwa kodi nafkiri sio kweli, zitakuwa tu habari za mtaani
 
Ahsante sana mkuu nimekuelewa.....na je kwa view zako iphone 6s na s7 ipi iko vzur zaid in all aspects?
 
Ko mfano ili nijue which is OG and which ni clone(fake) ntajuaje kaka? au kwa s7 clone zake hamna?
zipo clone nyingi tu,

download app kama cpu z halafu angalia specs utakazoziona then compare na specs za manufacture, mara nyingi clone inakuwa na
-soc za mediatek
-core zake ni chache
-maneno yanakosewa mfano adreno inaweza itwa adremo
 
iphone ni moja tu mkuu dunia nzima, kama utaweza kui unlock band ni zile zile, na matumizi ni yale yale sijawahi kutana na case hizi kwa iphone. kujua kama simu yako ina lock au haina eka tu line ya simu jaribu kupiga simu na kuingia internet vikikubali basi ipo fresh, zaidi tumia hii link kuangalia vitu kama warranty na mengineyo

Check Your Service and Support Coverage - Apple Support

utaeka serial
mkuu iphone na zenyew zina matatizo kama hayo nilishawahi kununua iphone 4s kipind flan 2013 nilakuta ussd haipo kabisa hyo fuctionality huwa yenyew nikupiga simu tu.
 
mkuu iphone na zenyew zina matatizo kama hayo nilishawahi kununua iphone 4s kipind flan 2013 nilakuta ussd haipo kabisa hyo fuctionality huwa yenyew nikupiga simu tu.
pengine za cdma, ilishafanyiwa unlock?
 
pengine za cdma, ilishafanyiwa unlock?
ile ilikuwa na ile simcard tray yake ikawa inakitu kama controller tofaut na simcard tray zakawaida ambazo hazina controller yeyote ndo hapo sasa nilishangaa sana
 
ile ilikuwa na ile simcard tray yake ikawa inakitu kama controller tofaut na simcard tray zakawaida ambazo hazina controller yeyote ndo hapo sasa nilishangaa sana
kama hivi?
gevey.jpg

pengine ni gevey
 
nina moja hapa inaitwa VEGA yaani inaji re start tuu, full kikorea
 
Mkuu vap hii naona inasoma 4g tu jamaaa aliniagizia toka china nisaidie haiwez soma kama 2g,3g chief mkwawa nisaidie kwa ilo
VPr4lZM.jpg

Sent from mTalk
 
Back
Top Bottom