Jihadhari na mtu usiyemjua anayekushobokea

Hakyanane [HASHTAG]#bujibuji[/HASHTAG] siyo mzima. Kichwa chako utakua ukitembea kama unakwepa upepo wa Mafiati Mbeya.
Upepo wa uwanja wa ndege pale TIA.
Kulikuwa Na mrembo anaitwa Lili Na boyfriend wake anaitwa Gilbert, tukaenda Vamponji ya airport kumngoja bibie. Tulipigwa Na baridi kuanzia saa tatu hadi saa Tisa, mnakunywa konyagi hamlewi, tukaja kulewa usiku tukiwa tumefika ghetto
 
Cha kusikitisha zaidi mrembo wenu akawa ameibwa. Hahahahaaa
 
Back
Top Bottom