Jihad imekwishaanza tz

Status
Not open for further replies.

Omulangi

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
1,034
263
Wiki iliiyopita tarehe 10 kitongojini Kashebeya, Kijiji Kaibanja, Kata Kaibanja wilaya Bukoba vjijini katika familia moja ya mzee Bagandanshwa kulikuwa na arusi. Vijana wake 3 walifunga ndoa. Wanakijiji wakaamua kusherehekea arusi hadi usiku na disco la Bwana Fokas toka Bukoba mjini. Km kama 6 tokea hapo kijijini kuna seminari ya kiislamu inayoitwa Katoro Islamic Seminari iliyopo eneo la Mujuga. Vijana wakatumwa kwenda kuudhibiti ukafiri. Wakaingia kijijini Kashebeya waka round up watu na kuwapa kichapo cha sawa sawa kwa fimbo na mawe. Kisha wakavunja vunja vyombo vya muziki na kutokomea. Ila katika kukimbia mmoja akakamatwa na akafikishwa kituo cha polisi Katoro. Kijana ni mzanzibari akakiri kuhusika katika tukio kwa agizo la Mkuu wa shule. Kijana akaongeza kuna hela nyingi zimetolewa kwa shughuli hiyo. Mara kwa mara vijana hawa wa seminari wamewapa walevi kichapo katika vibaa vya kijiji kama walivyofanya Kayoro mwaka jana, wamewahi kuvunja vyombo vya disko tena kwani wanadai ni ukafiri. Waliwahi kutaka kuchoma moto nguruwe aliyechinjwa Kakoronto. Kuna habari za kusadikika kuwa wanajifunza pia kutumia silaha!!!
 
MAKAKI

Senior Member
Sep 2, 2011
166
5
hawa janjawidi wawapeleke sudani au hata somali au kama vip hicho kijiji wafuge NGURUWE KIJIJI KIZIMA MAANA NACKIA MAJINI YANAOGOPA KWELI HII KITU KIJIJINI KWETU TUMEFUGA KIBAO
HADI RAHA!
 
Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,031
1,812
Ebu walete huo upuuz huku arusha kama ha2jawachinja kwa misumeno.
 
Didia

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
719
258
Aise! vijana wakaamua kudhibiti 'ukafiri'. Wakaamua wasambaratishe tamaduni za watu kula maraha. Hiyo ni jihadi. Tena JIHADI kweli kweli. Bahati mbaya katoro kumezungukwa na wanajihadi. Bila shaka wanapongezana! tena wanaimba takbir. Hii nchi niyao bwana hasa kwa sasa. Acha watambe, watoe makucha na wasikemewe. Acha wanakagera walioishi miaka yote kwa upendo na ushirikiano licha ya tofauti ya dini zao wapigane, wachinjane na wazidi kurudi nyuma kimaendeleo! Baada ya hapo KATORO itaendelea! kvipi, mimi sijui.
 
KABAVAKO

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
229
32
Ndugu yangu ninakushangaa unapolaumu wahalifu kwa kufanya uhalifu mwingine. Kuuhusisha uhalifu uliofanyika kwenu na Uislamu ni kosa kwani Uislamu ni dini ya amani na isiyokubali vurugu. Matatizo hayo unayoyasema ni matokeo ya elimu ndogo na upotoshaji wa mambo. Mbona kuna wakristo wanaofanya makosa lakini husema John kaua au kapiga na wala husemi Wakristo wameua au wamepiga. Tafadhali mrudie Mungu wako na uripoti mambo kwa usahihi wake bila upendeleo (bias). Tafadhali soma maelezo yaliyomo katika group liitwalo Utambue Uislamu.
 
Apollo

JF-Expert Member
May 26, 2011
4,901
3,087

kuna hoja fulani ilikwepo katika kukwaa la kidini hapa JF.. Watu walitoa aya zinazoonyesha kuwa kafiri hastaili kuishi, auawe! Kama ww ni msomi mzur wa quran hilo hutabisha.
 
Mkuu wa chuo

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
7,506
5,183
sasa hapo angeumizwa hata kijana mmoja wangesemaje, baada ya kusoma wanafanya mambo ya kijinga tu! Lakini muda ndo unaenda... Kuja kushtuka wamekwisha chelewa tayari!
 
Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,546
5,674
Lengo la dini ni kufundisha ustaarabu. Hapa si sawa. Wamechemka na wanaharibu sifa nzuri ya waislamu.
 
nchasi

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
562
180
Safi nini? Huoni aibu kushabikia ujinga???
<br />
<br />
Huyo anaesema safi sana ni muislam wa mapokeo. Yeye akisikia mtu wa dini nyingine akinyanyaswa anaamini kuwa ni kujipatia thawabu kwa MUNGU. Sasa inamaana anataka sehemu zote duniani waishi wao tu? Na MUNGU anataka watu washirikiane wao wanawaita wafuasi wa dini zingine ni Makhafiri, kwa mtindo huu mkikabidhiwa rungu si mtauwa watu wote jamani ili mpate thawabu maradufu?
 
KABAVAKO

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
229
32
kuna hoja fulani ilikwepo katika kukwaa la kidini hapa JF.. Watu walitoa aya zinazoonyesha kuwa kafiri hastaili kuishi, auawe! Kama ww ni msomi mzur wa quran hilo hutabisha.

Mimi ninauelewa vyema Uislamu, si kweli kuwa kafiri auawe. Hayo ni mahubiri ya waislamu fake wasiokuwa na elimu sahihi. Qur'an inasema mwenye kuua mtu mmoja kinyume cha sheria ni sawa na kuua watu wote duniani kwa kosa atakalokuwa nalo mbele ya Allah (SW)
 
Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,624
Dini zinatakiwa kufundisha ustaarabu na upendo
Kwa hilo lililotokea, shule zinatakiwa kufundisha ustaarabu na upendo.
Lakini sidhani kama kweli mkuu wa shule anaweza akaruhusu vurugu ninavyojua mimi mnapokuwa wanafunzi wa rika moja 'mob psychology' zinachangia sana kufanya vitu kama hivyo.
Mnakumbuka vurugu za shule ya Tambaza miaka ile!
 
sweetlady

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
16,947
8,354
Ebu walete huo upuuz huku arusha kama ha2jawachinja kwa misumeno.
Tena kabla ya kuwachinja tunawalisha kwanza kitimoto na tunawanywesha castle na kutosha.. Then wakishiba ndo tunaanza kuwachinja. Hawana adabu kabisa hao.. Dini gani inafundisha mtu kumdhuru mwenzie? Ujinga ndo unaowasumbua.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Top Bottom