Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,973
- 831,536
- Thread starter
- #121
Naeza pita kimya mimi bt hii ni social network ambayo mayb kuna family members wangu wanapta huoni km bdo kuna impacts zitapatkana km ukiichwa kumezesha watu sumu km usipoambiwa ukwel,dini zote zinapinga ushilikina so acha hizo mada ili upate wepesi siku ya hukumu...naihusia nafsi yangu na yako pia kuepuka ushilikina
mbaumbau rafiki wewe bado sana na una safari ndefu mpaka kuja kunielewa na kujielewa. ...hao family members naamini pia wameshapita instagram Facebook badoo mitandao ya ngono wanasoma magazeti ya udaku na vijarida na baadhi yao wana video na picha chafu chafu kwenye simu zao bado msg na maongezi yao....tafakari haya kwanza