Jifunze TENSES hapa

Hapo mko wawili, ni wengi tayari, are ndiyo sahihi.

My mother and I are going to the church.

Hutakiwi kuongeza neno we. We ni kiwakilishi, so kama usingetaja nani na nani ndo we inatumika.
Kwenye lugha me sijui kabisa,hapo mkuu "my mother and I are going to the church"
Hiyo "my"umeitoa wapi maana kwenye sentensi ya jamaa juu hapo sijaiona..

Nisahihishe mkuu[emoji16]
 
Kaka/dada una gubu hatari. Bado uko na mambo ya mwaka juzi?

Hamna, niligundua kumbe ile suluhu uliifanya kinafki. Nikakuta huku kumbe uliongea shombo. Sasa kama nilivyokwambia awali, ukifanya ushenzi tu nageuka mshenzi na ukiw amuungwana nageuka kuwa muungwana. Hata sasa, lete point tunajadili, ukilete ujuaji na mimi mlemle.
 
Umeelezea vizuri sana,safi
 
Dah English inakera ila nadhani ni kwa kuwa ni Common Phrase ndio mana tunatumia at night,At sunset,..

Tunaona in the evening, In the morning...zote huashiria muda lakini imegoma hapo kwenye night....

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna mtu kafafanua kwamba night is considered as block of time, no movement.

Na akaweka cases kwamba kama morning iko ingaged na schedule, at inatumika.

Mfano: At morning prayers.

Mfano: At noon, at sunset, ziko as good as block (no movement).

In the night kuna jinsi iko agreeable hasa ikiwa inaashiria activities zitakuwa ongoing.

Mfano, the celebrations will be done in the night.
 
Sina nia ya kuingilia..Ila huyu Khantwe hajawahi kuwa mjuaji aisee na ni mstaarabu sana sijawahi ona....Tuacheni kutupiana maneno hatutajenga tutabomoa hata hii spirit tuliyonayo..
Mkuu hata wewe una hoja Nzuri sana ambazo tunazihitaji..Let's stay positive ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye lugha me sijui kabisa,hapo mkuu "my mother and I are going to the church"
Hiyo "my"umeitoa wapi maana kwenye sentensi ya jamaa juu hapo sijaiona..

Nisahihishe mkuu[emoji16]

My mother, mother, mom.

Mom and I are...

Mother and I are ... (Hapa nimeona kama mother ina hang, haielezei ni mama mzazi au la)

So kuweka My Mother, ni mama yangu.

Ambapo ni sawa na mtu akiandika Mom ni mama yangu.
 
Hii thread unaweza mtu ukaichukulia ki-wack ila mimi binafsi kuna vitu vichache ambavyo mpaka hapa nimetoka navyo.

Sijui kama ntakuwa na spirit hii, lakini I have added some few things kiukweli.

I also would advise people to join Quora. It is full of professional discussions.
 
Sidhani kama umefuatilia kisa hiki. Huyu ni binadamu, kama mimi na wewe. Anaweza kukosea pia. Na katika hili natambua kuwa ninakwenda kinyume na tamaduni zetu funika kombe mwanaharamu apite kumbe bado unakuwa na visasi.Hili ndiyo nalipinga hapa. Huyu alianza yeye, akaigiza yamekwisha, huku kumbe bado anakuja kutoa kauli zisizo.Why?
 
Mkuu hakuna shombo, kusema jambo la kipuuzi ndio shombo? Kwani ni uongo kwamba yale maneno tuliyokuwa tunarushiana yalikuwa ya kipuuzi? Au mwenzangu uliona yana mchango wowote kwenye hii thread?
 
Sijawahi kuwa na kisasi na mtu ndio niwe na kisasi na mtu aliyeko nyuma ya keyboard? Ndio maana nimesema una gubu wewe binadamu khaa kila kitu unatachukulia personal
 
Mkuu hakuna shombo, kusema jambo la kipuuzi ndio shombo? Kwani ni uongo kwamba yale maneno tuliyokuwa tunarushiana yalikuwa ya kipuuzi? Au mwenzangu uliona yana mchango wowote kwenye hii thread?

Hivi unadhani unachozungumza au kifikiri ni lazima tufikiri pamoja? Wewe uliandika ukiwa unajua unachomaanisha kichwani, je, mimi ninaepokea? Wakati huohuo ni wewe tumetoka kutoleana maneno yasiyo mazuri hapohapo utakuja na kauli hii nikuelewe utakavyo? Ninadhani kuna shida ya kuutumia muktadha ipasavyo.
 
Sijawahi kuwa na kisasi na mtu ndio niwe na kisasi na mtu aliyeko nyuma ya keyboard? Ndio maana nimesema una gubu wewe binadamu khaa kila kitu unatachukulia personal
Jamani thread hii isiwe ya vurugu watu wanataka kujifunza vitu ila nashangaa sahizi imejaa Vita,Tujiheshim wakuu other we need to learn english in peace not you two

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kuwa na kisasi na mtu ndio niwe na kisasi na mtu aliyeko nyuma ya keyboard? Ndio maana nimesema una gubu wewe binadamu khaa kila kitu unatachukulia personal

Si kweli. ni vile wewe hujioni, na unahisi upo sahihi hasa kikauli na unaona kuwa upande wa pili ndiyo shida. Mfano, hapa unadai nina gubu, umejiuliza tumefikaje hapa? Nisingependa kurudia vijineno vyako vyote vya kejeli, lakini ndicho kinachotufikisha hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…