Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 63,625
- 112,704
ndo alivyo na hiyo ni nzuri, mke wa fela huyohuyu ni mtu kweli na sio picha imeeditiwa???
ndo alivyo na hiyo ni nzuri, mke wa fela huyohuyu ni mtu kweli na sio picha imeeditiwa???
aisee..ndo alivyo na hiyo ni nzuri, mke wa fela huyo
HahahaBaada ya haya ngozi ikipata madhara unakwenda kwa mganga na kuku
Hahahaaa nimecheka mpaka basiPili pili kichaa ndogo za kienyeji
Limao
Kitunguu maji
Maji ya betri
Spirit kali first class
Malizia na deltal liquid
Usisite kuleta marejesho.
ndo alivyo na hiyo ni nzuri, mke wa fela huyo
unamuogopa nini? hvi felaanamgegeda vipi? ngozi haitoi harufu ya nyama mbichi kweli?nikimuonaga huwa naogopa jaman,hatarious
unamuogopa nini? hvi felaanamgegeda vipi? ngozi haitoi harufu ya nyama mbichi kweli?
Madame b tufundishe bnaBeef Lasagna ulishapata tips za kutengeneza mkorogo ulio sahihi?
Kama bado njoo pm nikufundishe bure.
Sitaweza andika hapa maana mimi nafundisha ujasiriamali.
Karibu
Ule mkorogo sio kabisamie hua ananitishaga alivyojichubua
Poa.Madame b tufundishe bna
Nishafika pm shooPoa.
Twendeni chemba na Beef nikawaelekeze.
Uko serious lakini we binti?
Mile ndo naifanya hii na kuwauzia wadada na wamama.
Twende.......Nishafika pm shoo
Ule mkorogo wa kuzimu ulemie hua ananitishaga alivyojichubua
Ule mkorogo wa kuzimu ule
madam b kanipa shule yaani mtanikoma mjini hapa mamyhahaha na joto hili,lazima utokote
M
madam b kanipa shule yaani mtanikoma mjini hapa mamy
Ahahaaa ngoja kwanzahahhah mie jaman nilishndwa hzo kazi !usitereze sana bas !
Ahahaaa ngoja kwanza