Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

Kuna vitu mpaka sasa siwez kuviamini kama vipo...MUNGU NA SHETANI na sielewi nitumie mbinu gani ili niamin kimoja wapo kipo? mana nimesali sana makanisa kibao nimejitaid niwe na imani kweri kwer nilichokipenda huku utulivu wa nafsi huku ukitegemea baadae , kwa upande wa shetani nimeroga sana sijui njombe, sumbawanga, malawi, zambia, nijeri nimetoa mpaka kafara za damu.,, lakini sijaona uwepo wa hivi vitu majini sijui msukule nk baada ya kufanya hayo nikajigundua sikustaili kuwepo hapa dunian labda kuna sehemu yangu ya kuish mana sion tena umuhimu wa haya maisha yaan dunian nilikuja tafuta pesa, kujenga kuoa na kufa how? labda mtoa mada ungenieleza kiundan na kama kuna sehemu naweza ona majini hata ndondocha polepole nirudishe iman ila kwa sasa meng naona janja janja japo kuwa nina kipawa ndan yangu
Sio janja vipo
 
Usiogope,bado kidogo utafika mwisho wako wote na hapo ndipo Mungu ataanzia. Relax.
 
“JE ? KAMA MUNGU WETU MKWELI ANAIJUA KESHO YAKO/YETU, YANI ALIJUA WEWE UTAFANYA HAYO YOTE ULIOFANYA KABLA ATA HUJAANZA KUFANYA, KWANINI ATAKUCHOMA MOTO/ KWANINI ATAKUANGAMIZA”

Kiranga Tafadhali mkuu pita huku kidogo wasaidie ndugu zetu
Ukimjua Mungu utamuuliza maswali yote uliyonayo na atakujibu. Tafuta kumjua Mungu.
 
Back
Top Bottom