Sifurizero
Member
- Nov 13, 2016
- 16
- 9
Hongera mkuu...tatizo huwa tunajisahau kwenye upuriziaji wa dawa...unatakiwa upige dawa kwa kubadilisha badilisha baadhi ya wadudu huwa wanajibadilisha kupambana na dawa...wakizoea dawa moja ni vigumu kuwamaliza....Niliwai kujaribu kilimo hiki cha Nyanya,mambo yalienda vizuri lakini kuna mdudu anaitwa Kanitangaze duu!,aliniharibia sana ijapokwa mtaji wangu ulirudi baada ya mavuno!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa ya kanitangaze ni belt SC.Niliwai kujaribu kilimo hiki cha Nyanya,mambo yalienda vizuri lakini kuna mdudu anaitwa Kanitangaze duu!,aliniharibia sana ijapokwa mtaji wangu ulirudi baada ya mavuno!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dar....maeneo ni ghari sana...sijui gharama zinaendaje...vile vile gharama zinategemea...na ukubwa wa eneoBajeti ya kulima nyanya Dar es Salaam kwa roughly ni kiasi gani? Kuanzia kwenye kukodi hadi kuvuna!
Sent using Jamii Forums mobile app
Maji ndo dawa ya uo ugonjwa...inaonyesha miche hukuipa maji ya kutosha ama ulikuwa unamwagia kwa wingi ili kesho usimwagie...sekta ya umwagiliaji ni pana sana unatakiwa umwagie maji ya kutosha ila yasizidi sana na unatakiwa uzingatie muda kama ni kwa wiki mara tatu iwe ndio sheria hiyo hiyo sio unabadilika badilika....mimea ipo kama binaadam...
Kwa kuongezea, achilia mbali maji ila pia anatakiwa aweke mbolea ya CAN au yara nitrabor!!dokta ; matunda ya nyanya yanaharibika kwa kuanzia kwenye kitako cha tunda la nyanya. Wengi wanasema tatizo ni joto. nipo tabora. je ni kweli tatizo ni joto? nifanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta dawa za ukungu...pia na za wadudu....ebony au ivory inaweza ikafaa...vile vile ni kama hiyo miche imedumaa kwa kukosa maji ya kutosha...mwaga maji kwa wingi ila si kwa kiasi kikubwa kupitiliza muda wa kumwagia uwe asubuhi au jioni ila kabla ya saa 12....mwisho wa kumwagia uwe saa 11. Jioni....usisahau mbolea za kukuzia ukikosa tumia mbolea ya ng'ombe au ya kuku....ichanganye hiyo mbole kwenye maji ya kumwahilizia...
Kwa kuongezea... Kuna dawa za ukungu za kutibu na kuna dawa za kukinga. Ajitahidi kutafuta dawa za kutibu au dawa ya kutibu na kukinga at once.. Ivory 72WP au multpower itamfaa zaidi...Wataalamu nimepatwa na tatizo ktk nyanya zangu, hasa majani ya chiniView attachment 578476View attachment 578477
Asante sanaKwa kuongezea... Kuna dawa za ukungu za kutibu na kuna dawa za kukinga. Ajitahidi kutafuta dawa za kutibu au dawa ya kutibu na kukinga at once.. Ivory 72WP au multpower itamfaa zaidi...
Kuna maeneo unayoyafahamu wewe? Nahitaji ekari 1 hadi 5.Dar....maeneo ni ghari sana...sijui gharama zinaendaje...vile vile gharama zinategemea...na ukubwa wa eneo
Yapo bagamoyo...heka 100,000/= .....mbagala na chanika nasikia tu ila sina uhakika...Kuna maeneo unayoyafahamu wewe? Nahitaji ekari 1 hadi 5.
Unaweza nipa details zaidi na namna ya kupata.Yapo bagamoyo...heka 100,000/= .....mbagala na chanika nasikia tu ila sina uhakika...
Tembelea hayo maeneo....RUVU...au bagamoyo kisha ukifika uko wenyeji watakujuza zaidiUnaweza nipa details zaidi na namna ya kupata.
ShukraniTembelea hayo maeneo....RUVU...au bagamoyo kisha ukifika uko wenyeji watakujuza zaidi
mm ni mkulima wa nyanya morogoro, hapa dar naishi tabata baracuda naweza kuja kutembelea shamba lako mkuu?Mimi nina ki bustani tu kidogo nyumbani....inshort na mimi najifunza...nipo Tabata...kimanga huku Dar
inategemea kama kuna ugonjwa unahitaji dawa ya haraka piga dawa Ila kwa umakiniNyanya ikianza kuweka maua inahitaji dawa?
karibu Moro mkuunafikiria kuanzisha kilimo hicho katika eneo ambalo ni mbali na ninapo fanyia kazi zangu na kwenda shamba mara kwa mara sitoweza kumudu gharama za nauli ila kwa kila wiki end naweza ... nasikia kipindi cha mvua nyanya huwa na ugonjwa wa ukungu sasa niliona kama kunachangamoto ya kulazimika kwenda shamba mara nyingi
Nilikuwa Nina miche 580.nimepata hela kiduchu. Msimu mbayainategemea kama kuna ugonjwa unahitaji dawa ya haraka piga dawa Ila kwa umakini
kuna baadhi ya dawa upukutisha maua au ww mwenyewe usipokuwa makini wakati wa kupiga dawa utapukutisha maua kimsingi maua ndio matunda yenyewe, elewa kwamba nyanya akianza kutoa maua haiitaji usumbufu