Wadau wa kilimo cha nyanya tupeane maufundi ya kupamba na hali ya mvua

ngawada

Member
Oct 12, 2023
11
6
Wadau na watalaamu wa kilimo cha nyanya hali ya mvua inatishia kwa uzalishaji wa nyanya tupeane mbinu mbalimbali za kupambana na hali iih ni sumu gani zinafaa kupuliza? Natanguliza shukurani
 
Mimi nalima nyanya aina ya Imara F1 saivi nimeanza kuchuma dawa ninazo tumia ni

Kudhibiti Wadudu/ kantangaze natumia Vuruga ambayo napiga Kila baada ya siku Saba huwa sichanganyi na mbolea za maji maana ndani yake tayali inakiwango Cha mbolea ya maji

Kudhibiti Ukungu natumia Master Kutu, Inovex na Blue copper huwa napiga Kila baada ya siku nne Hadi Saba inategemeana na kiwango Cha mvua, ivyo niakianza na master Kutu nakuja na Blue copper then Inovex
 
Shukurani mkuu
 
Unalimia wap mkuu???? .... na shukuru Mungu nime pishana nilipanda toka Dec joto lilikuwa Kali ila nilikuwa na komaaa na kumwagia Mungu mwema mvua kuja nyanya tayar zilikuwa zimeanza kuinuka Miche imenyooka , soon na Anza vuna ,......mvua zimekukuta ukiwa umeweka kwenye vitalu au ardhini umepanda???? Jitahid kuwekeza kwenye dawa
 
Mimi nalima nyanya aina ya Imara F1 saivi nimeanza kuchuma dawa ninazo tumia ni

Kudhibiti Wadudu/ kantangaze natumia Vuruga ambayo napiga Kila baada ya siku Saba huwa sichanganyi na mbolea za maji maana ndani yake tayali inakiwango Cha mbolea ya maji

Kudhibiti Ukungu natumia Master Kutu, Inovex na Blue copper huwa napiga Kila baada ya siku nne Hadi Saba inategemeana na kiwango Cha mvua, ivyo niakianza na master Kutu nakuja na Blue copper then Inovex
The same too nime panda mbegu hiyo hiyo mkuu mambo sio Haba ....huko kwenu mbolea ya can Ina patikana?
 
Back
Top Bottom