Jifunze kilimo cha nyanya

Dah wakulima tuna hali ngumu
 

Attachments

  • FB_IMG_1495650214054.jpg
    FB_IMG_1495650214054.jpg
    22.6 KB · Views: 201

Kupatwa kwa Nyanya.....yani hapo Mkulima huwa na furaha sana...husahau tabu na kuwaza faida tuu...maana ameshaona matokeo ya kazi yake
 
swali tafadhali:hivi madawa ya kupulizia minyanya huweza kudumu kwenye majani ikizuia wadudu kwa muda gani?na je,mvua ikinyeshea inabidi upulizie tena?
 
swali tafadhali:hivi madawa ya kupulizia minyanya huweza kudumu kwenye majani ikizuia wadudu kwa muda gani?na je,mvua ikinyeshea inabidi upulizie tena?
inategemea na aina ya dawa, uwezekano wa dawa kuishiwa nguvu baada ya kunyeshewa na mvua ni mkubwa.....zipo dawa zinazodumu siku 3, 2, 5, 7 wiki mbili hadi mwezi...
 
inategemea na aina ya dawa, uwezekano wa dawa kuishiwa nguvu baada ya kunyeshewa na mvua ni mkubwa.....zipo dawa zinazodumu siku 3, 2, 5, 7 wiki mbili hadi mwezi...

Nafikiria kuanzisha kilimo hicho katika eneo ambalo ni mbali na ninapo fanyia kazi zangu na kwenda shamba mara kwa mara sitoweza kumudu gharama za nauli ila kwa kila wiki end naweza. Nasikia kipindi cha mvua nyanya huwa na ugonjwa wa ukungu sasa niliona kama kunachangamoto ya kulazimika kwenda shamba mara nyingi.
 
nafikiria kuanzisha kilimo hicho katika eneo ambalo ni mbali na ninapo fanyia kazi zangu na kwenda shamba mara kwa mara sitoweza kumudu gharama za nauli ila kwa kila wiki end naweza ... nasikia kipindi cha mvua nyanya huwa na ugonjwa wa ukungu sasa niliona kama kunachangamoto ya kulazimika kwenda shamba mara nyingi
Fanya hivi mkuu,tafuta spraying program toka kampuni lolote la dawa,hili litakusaidia achana na upulizwaji wa kiholela,mfano Mimi ninayo ya bayer crop science wale wazee wa belt kama unawajua
 
muanzisha uzi huu nijuze dawa ya kupulizia ili matunda ya nyanya yasiharibiwe na wadudu.
Mkuu inafuatana na mdudu anayekusimbua mfano tumia
1.belt kwa kumdhibiti tuta absoluta wengi humuita kanitangaze au boko haram,singida vijijini wakulima wa Kinyeto humuita Ebola.huyu mdudu hutoboa matunda kwa kasi sana na ni jamii ya kiwavi

2.thunder OD Kwa wadudu wote wa kutoboa,kukata na kutafuna ni nzuri sana hutojuuta,ila bei IPO juu kidogo
3.confidor
4.decis
 
Jaribu kuangalieni na hapa anzishaproject .com kuna mambo mengi ya kujifunza kuhusu kilimo cha nyanya na mazao mengine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom