Jifunze hapa kuhusu ALBADIR

Jifunze hapa kuhusu ALBADIR

Hofu yako no ipi?? Na isomwe tu na hata kama michango itahitajika tujulishane ili kulifanikisha hili, kwani kutaka kutoa nafsi ya binadamu mwenzako ni zaidi ya uchawi.

Na isomwe tu na ikibidi zisomwe nyingi tu za kutosha na kila aliyeshiriki apate mapigo yeye na ukoo wake wote

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina khofu yeyote mkuu. Tatizo langu ni ujinga huo kuhusishwa na dini
 
Waangalie isije ikaondoka na Lissu...... Kila la Kheri yakhee.....
Wajinga hao mm kunademu skuli enzi hizo shule walikataza kuja na cm na mm nilkuwa waziri wa ulinzi shuleni nikaichukua basi akadanganya na visheta wenzie wanisomee alhubadr walisoma mpaka wakazimia na mashehe uchwara wao msela ndo kwanza nadunda mpaka leo umeshaona wapi chizi analogwa tena hiyo imani ni uchawi wa mashehe kufuga majini wala haisuiani na quaran tukufu au uislamu japokua mm mkristu
 
Kusoma Halal Badiri au Albadiri (Ahlul-Badr) Kwa Ajili Ya Kinga Na Kuapiza Ni Shirki Na Dhambi Kuu!


Albadir imetoka katika lugha ya Kiarabu lakini kupotolewa au kuandikwa na kusomwa makosa katika Kiswahili. Wapo wanaosema Alibadirilakini makusudio ni Ahlul-Badr, yenye maana watu wa Badr (wale waliopigana vita vya Badr). Badr ni sehemu iliyo karibu na Madiynah na ndio iliyokuwa sehemu ambayo Waislamu wakiongozwa na Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) walipambana na mushirikina wa Makkah katika vita vya kwanza baina ya pande hizo mbili. Waislamu waliohudhuria walikuwa baina ya 313 – 317, lakini pamoja na idadi yao ndogo hiyo waliweza kuwashinda washirikina waliokuwa na idadi kubwa ipatayo mara sita yao.



Kisomo cha Ahlul Badri inakuwa ni kutaja majina ya Maswahaba (Radhiya Allaahu ‘anhum) mmoja baada ya mwingine. Katika kutaja huko ni Imani ya mwenye kusoma hao Maswahaba (Radhiya Allaahu ‘anhum) wanamsaidia kwa njia moja au nyingine. Ima kupata kitu alichopoteza au kilichoibiwa au kulaaniwa aliyefanya. Na hii katika Uislamu ni njia moja ya shirki ambayo Allaah Aliyetukuka na Mtume Wake (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) wameikema na kuipiga vita sana. Allaah Aliyetukuka Anasema:

“Hakika Allaah Hasamehe kushirikishwa, na husamehe yaliyo duni ya hilo kwa Amtakaye. Na anayemshirikisha Allaah basi hakika amezua dhambi kubwa” (4: 48). Shirki ni dhuluma kubwa sana.
Unajua maana ya shirki???Abdul-Badr so shirki maana nikumlilia Mungu ndo atoe hukmu .sasa hapo shirki ikowapi??shirki nikumshirikisha mungu navitungine.
 
Yaani hawa watu akili zao wanazijua wenyewe, waliouwawa kibiti ni waislam lakini hawakuona umuhimu wa kuisoma tena waliuwawa zaidi ya watu 30 lakini Leo lisu kakoswakoswa wanasoma hiyo albadir yao
Lisu pekeyake nisawa nanyie 100,000.
 
Wajinga hao mm kunademu skuli enzi hizo shule walikataza kuja na cm na mm nilkuwa waziri wa ulinzi shuleni nikaichukua basi akadanganya na visheta wenzie wanisomee alhubadr walisoma mpaka wakazimia na mashehe uchwara wao msela ndo kwanza nadunda mpaka leo umeshaona wapi chizi analogwa tena hiyo imani ni uchawi wa mashehe kufuga majini wala haisuiani na quaran tukufu au uislamu japokua mm mkristu
Kweli km ulivyosema wewe ni chizi, na walokuombea ni machizi, km simu zilikuwa zimekatazwa kwa sababu ya msingi wala ukuombewa albadri wewe usijisifu, nakushauri upambane na hali yako.. Hacha kujipendekeza kwa hawa wauaji, na subili tu wasomewe ili muone kitakachowasibu..
 
Ikipata wasomaji wa ukweli kwa kukidhi vigezo vya kuwa wasomaji wa halbadir basi ina madhara ya kudumu...... Huku kwetu iliwahi kupigwa marufuku na serikali maana ilifikia mpaka mwizi wa kuku tu anasomewa....matokeo jogoo anawika tumboni kuanzia kwa mwizi,mnunuaji,mpikaji ,mlaji ,mpaka mtupaji wa hizo taka!


Sent using Jamii Forums mobile app
Asante baba, ishia hapo na isomwe tu, kuna jamaa aliingiza mbwa msikiti wa mwembechai na tukamuombea na mpaka leo mambo yake hayajawai kufanikiwa na amekuwa akipambana na halo yake since then kilichobaki ni mdomo tu
 
Acha kukufuru
Dua Asma ahlul Badr ni ku-tawassul kwa daraja ya Mtume (S.A.W) na waja wema, kwa hakika hao wote ni katika watu wa daraja ya juu na ni watu wa peponi. Wanaopinga Tawassul kwa ujumla watapinga Dua Asma Ahlul Badr, kwa kuwa hii ni Tawassul. Anaombwa Allah kwa kujikurubisha mja wake kupitia Mtume (S.A.W) na daraja ya Maswahaba hawa wema ambao wanatajwa mmoja baada ya mwingine.
 
Kweli km ulivyosema wewe ni chizi, na walokuombea ni machizi, km simu zilikuwa zimekatazwa kwa sababu ya msingi wala ukuombewa albadri wewe usijisifu, nakushauri upambane na hali yako.. Hacha kujipendekeza kwa hawa wauaji, na subili tu wasomewe ili muone kitakachowasibu..
Basi waarabu wange muombea mu israel ambaye anaua waislamu kila cku lakini ndo kwanza israeli inabarikiwa na kuzidi kuua wapaletina bro imani ni kama ukichaa hata ukishauriwa juu ya ujinga wa kuamini kwako utaita kukufuru bila kuja na hoja zenye mashiko
 
Hahahah usikae na vitu moyoni vinaumiza.
Nahisi kwa mbali unachotaka kukiandika lakini ungefunguka tu mkuu
 
Waislam leo nimewapenda bure, najitolea gunia zima la uban kusindikiza dua mbaya kwa hao watu wasiojulikana. Laana iwapate wao, koo zao, mashamba yao, mifugo yao...
 
Mkuu hio huwa haisomwi hivi hivi.hadi uwe umefanya maovu kwa mfano umeina au umemdhulumu mtu au umedhamiria kutoa nafsi ya mtu..
Hio dua maana yake Mtu aliefanyiwa maovu kama hayo ndio anamshatakia Mungu wake na hukumu anamwachia Mungu wake
%90 Hua inaleta Majibu yake,
Na mara nyingi msomaji anahakikisha ni kweli alichofanyiwa..
Ukisoma tu kua umeibiwa kumbe unaidanganya Uma hua inakurudia mwenyewe,,
Sasa Mkuu ningekushauri kua bisha kitu ili uwelewe sio ubishe kitu ili mradi tu unabisha
Mimi nimekana kuwepo kwa Mungu.

Nisomeeni nife, weekend hii, tujue inafanya kazi.

Mkishindwa, tutajua ni uongo tu, haifanyi kazi.

Haya someni, nahesabu masaa huku.
 
Kumlilia Mungu ni ujinga, kaka be careful, nakuomba soma vizuri uelewe maana ya albadri
Wewe ndio kajifunze.
Dua ni ibada. Tena kubwa sana.

Ibada yeyote ni lazima iwe ina asili kwenye Qur-aan au Sunnah. Hiyo yenu mmeipata wapi?

Nadhani hujui hata inavyosoma na nini kinatumika kwenye kisomo hicho. Usingeandika haya.

Ule ni uchawi. Na uchawi kwenye uislamu ni shirki.

Wanaweza kuwa wanamlilia mungu. Lakini si Mungu muumba
 
Mara huiamini hio Ahla-lbadr
Saa hii tena umekana kuwepo kwa mungu...
Duhhh,!!!huenda hapa namfahamisha Mtu alioko Sayari Ya Jupiter
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom