Jifunze hapa kuhusu ALBADIR

Jifunze hapa kuhusu ALBADIR

Wachawi wanaposoma talasimu zao huwadanganya watu kwa kuanza kusoma baadhi ya aya au sura ndogo ndogo za Qur-aan na kulitajataja jina la Nabii SULAYMAAN na utawasikia daima wanamnasibisha Mtume huyu ('Alayhis Salaam) na kufru zao hizo ili wajinga wanaowafuata wadhani kwamba hayo yamo katika dini.

Uchawi haujaanza zama za Nabii Sulaymaan kama wachawi wanavyozuwa na kumsingizia Nabii Huyu wa Allaah, bali ulikuwepo kabla yake kwa miaka elfu nyingi.

Uchawi ulikuwepo tokea zama za Nabii Saleh ('Alayhis Salaam) aliyekuja kabla ya Nabii Sulaymaan kwa miaka elfu nyingi.

Allaah Anasema:

"Wakasema: (kumuambia Nabii Swaalih); "Hakika wewe ni miongoni mwa waliorogwa."

Ash-Shu'araa - 153

Nb
Hiki ni kisomo cha kichaw tu humshirikishi Allah Bali Majini, Kwahyo sio uislam kwa kuwa kina aya za kiislam watu hudhan ni uislam huo, ukisoma vitabu vyote utafaham
Kwahiyo uisilam ni uchawi kwanini isomwe na mshehe pekee
 
Mkuu mbna unacheza na maneno kma binti anaye tongozwa karibu na kwao

Nime kupa task either u do it or discusion is over nyie keyboard heroes mnaweza andika hadi asubuhi but hamnaga guts in real life
Unajuaje kwamba nilipo kuna msikiti?

Hao waislamu wenyewe wanasema al-badr si uislamu.

Hao waliomuua Lissu watakaposomewa al-badr, mavi yao yatapatikana wapi?
 
Najisikia kuungana na waislamu kesho, haya ndio mambo ya msingi kuonesha mshikamano sio mshikamano kwenye pilau ya Idd tu.
 
Wadau naona watu wengi wamezungumza sana kuhusu kisomo cha Albadir ambacho baadhi ya waislamu wanatarajia kukisoma kesho kwa ajili ya kuwashtakia kwa Allah watu waliokusudia kumuua Mh, Tundu Lisu.

Kisomo hicho ambacho maana yake kwa Kiarabu kinaitwa Ahlul Badr, uwa kinasomwa kwa kuwataja maswaaba ambao walishiriki kupigana katika vita vya Badr,

Dua hiyo huwa ina majibu ya haraka sana kama inasomwa kwa ikhlas, na ni kwamba Allah uwa anaijibu punde tu kama jambo linalokusudiwa lipo kwenye haki, na kuna dhulma imefanyika,

Mtume Muhammad (Saw) anasema dua ya mwenye kudhulumiwa huwa haina pazia baina ya dua hiyo na Allah, tutarajie majibu ya haraka sana kama kweli dua hiyo itafanyika.

Madhara ya dua hiyo ni kwamba watu waliohusika, waliochangia mawazo, kifaa kilichotumika wote watapata madhara, na ndio maana dua hiyo waislam uwa tunashauriwa tutumie Busara kuisoma maana inaondokaga na wengi.

Assallaam Alleykum Warahmatullah Wabarakatuh.
Hivi Mungu ndiye anayeua au Shetwani.Maana Shetwani kazi zake kuu ni tatu:kuua,kuiba na kuharibu.Au Shetwani yeye ni mwema sana,kwa hiyo madongo yote anarushiwa Mungu na Shetwani yeye anafichiwa siri?Ni swali chokozi tu.
 
Wasome 600 times tena nahao watu waliochangia hata kwa kutoa ushauri Lisu auwawe nao iwapate
 
Ukweli kwamba watu wanawalalamikia kila siku halafu kumbe kuna solution dogo tu unawasomea wanapatwa na daflao, unaonyesha kwamba hata watu hawaiamini hii Al-Badr,inatumika kama njia ya kuunganisha watu tu,lakini kuiamini kama dua inayoweza kufanya kazi hakupo.

Kama ipo na inafanya kazi, mimi hapa mkana Mungu, dhambi yangu kukana kwamba Mungu yupo na kueneza habari hizo hapa JF.

Naomba mtu anisomee hiyo Al-Badr nife weekend hii, ili wiki ijayo nikikosekana hapa JF,uwe ushahidi mzuri kabisa kwamba Mungu yupo na anajibu Al-Badr.

Unaweza kuthibitisha hii Al-Badr inafanya kazi kwa mimikusomewa nife ili ukweli ujulikane na uongo ujitenge?

Na nikiweza kuja hapa Jumatatu kuendelea kuandika, ijulikane hiyo Al-Badr ni a social psychology myth tu,haina ukweli.

Hapo vipi?
 
Tuma picha na majina yako nikushughulikie
 
Dini zote ni shirki.

Ndiyomaana Wakristo wanayaita makanisa yao "usharika wa wapi na wapi".

Kuamini uchawi na kuamini Mungu kote ni kuamini supernaturalpowers ambazo hazithibitishiki.

Sasa utaniambiaje kuamini uchawi ni tofauti na kuamini Mungu ni vitu tofauti wakati vyote ni kuamini vitu visivyothibitishika?

Tafadhali uzi huu ni wa waamini subiri yako jumatatu
 
Safi sana isomeni wakuu natamani gavana aangukie pua na asiheme milele.
 
Ni shirk, yaani umsomee mtu adhurike that's a lie

Hii ni dua tu ya kuomba
 
Tuma picha na majina yako nikushughulikie
Bila picha na majina haifanyi kazi?

Hao watu wasiojulikana watasomewaje al-badr bilakutumapicha na majina yao?

Nikituma picha na majina hata majambazi unaweza kunitumia ukasema al-badr imefanya kazi.

Mi nataka kisomo tu kifanye kazi,bila picha wala jina.
 
Matatizo yakizidi ni Bora kusona QUNUTY tu katika swala zetu
Albadir ni Shirki
 
Bila picha na majina haifanyi kazi?

Hao watu wasiojulikana watasomewaje al-badr bilakutumapicha na majina yao?

Nikituma picha na majina hata majambazi unaweza kunitumia ukasema al-badr imefanya kazi.

Mi nataka kisomo tu kifanye kazi,bila picha wala jina.

Kumbe muoga tu
Haha haa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom