Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,596
Hujajibu swali langu.Kumbe muoga tu
Haha haa
Hao watu wasiojulikana wanaosomewa al-badr wametuma majina yao na picha?
Hujanijibu swali hili.
Hujajibu swali langu.Kumbe muoga tu
Haha haa
"Hicho nilichokitaja" unaelewa ni nini?Kwahiyi uisilamu ni uchawi? Nitajie na hiyo din inayoamin hicho ulichokitaja hapo mkuu
Samahan lakin tupo tunaekekezana mkuu
ndio tunayotaka hayo madhara
Al Badr kwetu sisi tusioamini kuwepo kwa Mungu haina ukweli kama "dua" inayojibiwa na Mungu (Mungu hayupo, hivyo hawezi kujibu dua hii).
Ila, ina maana kubwa sana katika jamii. Inaonyesha kwamba watu wamechoka kiasi kwamba Mungu angekuwepo na angeweza kusikiliza dua hii, wangeitumia.
Ni namna mojaya kuwa isolate na kuwa shame watu wanaotumia ugaidi kufikia malengo yao maovu.
Kwa hiyo hata mimi ambaye siamini kuwepo kwa Mungu, na siamini kwamba dua huwa zinajibiwa na Mungu,naweza kuona maana ya hii Al- Badr from a purely social-psychological/ non-religious context.
Ni namna fulani ya jamii kulaani vitendo viovu.
Unajuaje kwamba hayo mambo yalitokea kutokana na Al-Badr na si kitu kingine chochote?Mkuu hivi vitu vipo kwani kuna mbeba mizigo pale sokoni Tanga Mjini anaitwa Khalfani Kigozi
hii ilitokana na watu kwenda kuiba Nazi kwa Shariffu kikapu basi akawatwanga na al-Badr ya mguu mmoja basi kilichotokea ni kile chuma walichofulia Nazi kilikatika hadi kuku aliyekula machicha nae alitangulia mbele ya haki na huyo Khalfani kigozi alibeba tuu hizo Nazi sokoni akapata masaibu humuangalii mara mbili
Kama dua iko kwenye kuran,kwa hiyo kuran ni shirk?Huu ni ushirikina sio uislam
Karibu sana katika imani ya Haki, tunakupokea kwa mikono miwili ndugu yetu.Kuanzia kesho nahama dini naomba waislamu mnipokee
Hawa wasiojulikana na huu utamaduni wao unaoenezwa na mbaya zaidi kuliko madhara unayoyazungumzia. Ingefaa iwaue wote au wawe vichaa wote waliohusika
Wewe mbn una ipinga sana umeshiriki kulitenda hili jambo? Kama umeshiriki Mungu akuue na kama hujashiriki kwa kuwakingia waovu waendelee kudhulumu nafsi zisizo na hatia uwe kichaa. Nyamaza watu hawa na viobgozi wao washughulikiwe, wenye kibri ya kuwadhuru wenzao.Kusoma Halal Badiri au Albadiri (Ahlul-Badr) Kwa Ajili Ya Kinga Na Kuapiza Ni Shirki Na Dhambi Kuu!
Albadir imetoka katika lugha ya Kiarabu lakini kupotolewa au kuandikwa na kusomwa makosa katika Kiswahili. Wapo wanaosema Alibadirilakini makusudio ni Ahlul-Badr, yenye maana watu wa Badr (wale waliopigana vita vya Badr). Badr ni sehemu iliyo karibu na Madiynah na ndio iliyokuwa sehemu ambayo Waislamu wakiongozwa na Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) walipambana na mushirikina wa Makkah katika vita vya kwanza baina ya pande hizo mbili. Waislamu waliohudhuria walikuwa baina ya 313 – 317, lakini pamoja na idadi yao ndogo hiyo waliweza kuwashinda washirikina waliokuwa na idadi kubwa ipatayo mara sita yao.
Kisomo cha Ahlul Badri inakuwa ni kutaja majina ya Maswahaba (Radhiya Allaahu ‘anhum) mmoja baada ya mwingine. Katika kutaja huko ni Imani ya mwenye kusoma hao Maswahaba (Radhiya Allaahu ‘anhum) wanamsaidia kwa njia moja au nyingine. Ima kupata kitu alichopoteza au kilichoibiwa au kulaaniwa aliyefanya. Na hii katika Uislamu ni njia moja ya shirki ambayo Allaah Aliyetukuka na Mtume Wake (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) wameikema na kuipiga vita sana. Allaah Aliyetukuka Anasema:
“Hakika Allaah Hasamehe kushirikishwa, na husamehe yaliyo duni ya hilo kwa Amtakaye. Na anayemshirikisha Allaah basi hakika amezua dhambi kubwa” (4: 48). Shirki ni dhuluma kubwa sana.
Utakoma kama umeshiriki anza kujiandaaHii ni shirki sio uislam
Utakoma hiyo swala hata wateteaji kama wewe haiwaachi salama mnaua kwa kukataa kupingwa tu. Au kupewa ushauri anza kujiandaa kuwa chizi.Sijui nn sasa we ndo ujui Mungu wetu ni mmoja na alisema Samehe saba mara sabini,.. Nyie na matakbir yenu mnaleta shida dunia nzima sio kila jambo unatakiwa ulipize kwa damu, vingine vya kukaa mezani yanaisha,mnajiita chinja chinja
Kuliko madhara ya kummiminia mtu risasi kama njugu mawe.....???Haki itendeke tu.....
Hata lissu kapata madhara makubwa mkuu
Nalazimisha kwa sababu al-badr ni uongo.
Kama unabisha soma hapa tui test.
Yaani hawa watu akili zao wanazijua wenyewe, waliouwawa kibiti ni waislam lakini hawakuona umuhimu wa kuisoma tena waliuwawa zaidi ya watu 30 lakini Leo lisu kakoswakoswa wanasoma hiyo albadir yaoDuu kwa hiyo kesho kuna kisomo cha albadir kwa waliomfanyia ubaya Tundu lissu?

Hofu yako no ipi?? Na isomwe tu na hata kama michango itahitajika tujulishane ili kulifanikisha hili, kwani kutaka kutoa nafsi ya binadamu mwenzako ni zaidi ya uchawi.
Hofu yako no ipi?? Na isomwe tu na hata kama michango itahitajika tujulishane ili kulifanikisha hili, kwani kutaka kutoa nafsi ya binadamu mwenzako ni zaidi ya uchawi.Waislamu kwa visasi utazani mnaenda mbinguni wote,
.aya ngoja tuyaone kesho ayo,
Hofu yako no ipi?? Na isomwe tu na hata kama michango itahitajika tujulishane ili kulifanikisha hili, kwani kutaka kutoa nafsi ya binadamu mwenzako ni zaidi ya uchawi.Mkuu kwa maelezo yako ni dhambi kuisoma hiyo Ahlul-badr