Jifunze hapa kuhusu ALBADIR

Jifunze hapa kuhusu ALBADIR

Hiyo dua km kweli inaweza kufanya kazi kwa matukio km haya nchi za ulaya ambazo zinaongoza kumwaga damu tena damu ya watu wasio na hatia katika nchi za kiarabu basi marais na mawaziri wote wangekuwa washakufa wote..nashawishika sans kuamini hizi dini zetu uislam na ukristo zimechakachuliwa sana..long time ago bado nafanya research

Sent using Jamii Forums mobile app
Research gani wewe wafanya?
Utafanya Research wakati umekaa nyuma ya keyboard!
 
Tofautisha Kati ya shirki na dini hata km huamini

“Neno “Uchawi”, kwa kiarabu “As Sihr”, maana yake ni kitendo cha kujikurubisha na Shaytwaan na kwa msaada wake (Shaytwaan)”, na akasema pia kuwa; “Uchawi ni kulibadilisha jambo mbali na uhakika wake, nako ni kuwadhihirishia watu jambo lisilo la kweli wakaliona kuwa ni la kweli.”

Ama Swahaba Ibni 'Abbaas (Radhiya Allaahu ‘anhu) amesema:

"Uchawi ni kuidhirisha batili katika sura ya haki."

Hayo ni katika kamusi za lugha.


Amma katika kamusi ya dini, maana ya neno Uchawi (As Sihr), kama alivyofasiri Mwanachuoni mkubwa Fakhruddin Al Razi kuwa;

"Ni kila jambo lililofichika sababu zake, linalotokeza kwa sababu zisizo za kawaida na ndani yake mna hadaa (khidaa)."

Amma Shaykh Wahiyd Abdulsalaam Bali, mwandishi wa kitabu maarufu kiitwacho 'Al Saarim Al Batar fiy muhaarabat Al Saharatul ashraar', na kitabu kiitwacho "Al wiqaya mina l jinni wa shaytan", ambaye pia ni mtaalamu maarufu katika elimu ya majini na Mashaytwaan na uchawi na ambaye pia ni katika maulamaa maarufu wanaotoa majini kwa njia ya kusoma Qur-aan, yeye anasema:

"Uchawi ni makubaliano baina ya mchawi na Jinni akishurutishwa mchawi kufanya mambo ya haramu au ya shirki, na baada ya kufanya hayo, Jinni anashurutishwa kumsaidia na kumtii mchawi huyo kwa kila anachotaka."


Baadhi ya yale ambayo mchawi anatakiwa na Shaytwaan ayatende ili ajikurubishe naye ni:



 Mchawi anatakiwa auvae msahafu miguuni na aingie nao chooni

 Aandike baadhi ya aya za Qur-aan kwa damu ya hedhi.

 Miongoni mwao wanashurutishwa kuandika aya za Qur-aan penye nyayo za miguu.

 Au aiandike suratulFatiha kinyume nyume.

 Asali bila ya Udhuu.

 Wengine hutakiwa kuchinja mnyama bila ya kulitaja jina la Allaah kisha amtupe mnyama huyo mahali maalum anapoamrishwa na Shaytwaan.

 Wamo miongoni mwao wanaozungumza na nyota au kuzisujudia.

 Au hutakiwa kuandika herizi kwa maneno yenye kufru ndani yake
may Allah (s.w) grant you jannah!
 
Kesho masheikh someni hio albadri watu wasiojulikana tuwaone!! Tumechoka na ma tukio
 
Sijui nn sasa we ndo ujui Mungu wetu ni mmoja na alisema Samehe saba mara sabini,.. Nyie na matakbir yenu mnaleta shida dunia nzima sio kila jambo unatakiwa ulipize kwa damu, vingine vya kukaa mezani yanaisha,mnajiita chinja chinja
Samehe saba Mara sabini kwa aliyeomba msamaha. Wameambiwa wajitokeze na kutubu wamedharau. Hivyo bila kufanya hiyo dua kesho wayamchapa mwingine shaba na mwingine tena.
Lazima mambo hayo yakomeshwe. Sasa sijuikama mzee anahusika halafu wazimu ukampanda na kuvua nguo kwenye hadhara mbele ya kamera itakuwaje!
 
Sasa nyie mmeitoa wapi?
Wachawi wanaposoma talasimu zao huwadanganya watu kwa kuanza kusoma baadhi ya aya au sura ndogo ndogo za Qur-aan na kulitajataja jina la Nabii SULAYMAAN na utawasikia daima wanamnasibisha Mtume huyu ('Alayhis Salaam) na kufru zao hizo ili wajinga wanaowafuata wadhani kwamba hayo yamo katika dini.

Uchawi haujaanza zama za Nabii Sulaymaan kama wachawi wanavyozuwa na kumsingizia Nabii Huyu wa Allaah, bali ulikuwepo kabla yake kwa miaka elfu nyingi.

Uchawi ulikuwepo tokea zama za Nabii Saleh ('Alayhis Salaam) aliyekuja kabla ya Nabii Sulaymaan kwa miaka elfu nyingi.

Allaah Anasema:

"Wakasema: (kumuambia Nabii Swaalih); "Hakika wewe ni miongoni mwa waliorogwa."

Ash-Shu'araa - 153

Nb
Hiki ni kisomo cha kichaw tu humshirikishi Allah Bali Majini, Kwahyo sio uislam kwa kuwa kina aya za kiislam watu hudhan ni uislam huo, ukisoma vitabu vyote utafaham
 
Nalazimisha kwa sababu al-badr ni uongo.

Kama unabisha soma hapa tui test.

Nenda kanye msikitini then ulete mrejesho mambo ya kwenye keyboard ni kupotezeana muda

Wakati unakunya hapo msikitini piga picha kwa ushahidi
 
Ilisomwa na mzee fulani Kilwa baada ya kuibiwa nazi zake.
Weeeeeeeeeehhhh.
Mpaka punda aliyetumika kubeba mzigo, shoka lililotumika kufua nazi, walaji na walioiba wote walikwenda.
Au asiyeijua vizuri aende Pale Afrikana Dar aulize nini maana ya Ahlul badr , vijana wa bodaboda wote waliochoma moto daladala ya Mpemba walikufa kama kuku wamepigwa na sotoka.
Huu ni wakati wa Bashite kujisalimisha ili atetee uhai wake na wa mjomba wake.
nimecheka sana....huu.mstari wa mwisho kiboko
 
Nenda kanye msikitini then ulete mrejesho mambo ya kwenye keyboard ni kupotezeana muda

Wakati unakunya hapo msikitini piga picha kwa ushahidi

Shukurani kwa kuleta habari ya kunya. Kunya huwa kunatenganisha uongo na ukweli mara nyingi sana.

Kwa hiyo al-badr mpakawapate mavi yako ndo inafanya kazi?

Mavi yanawasaidia nini? Wanatafuta DNA?

Mbona unatakakuifanya kama sayansi sasa?

Mimi nilifikiri wanaweza kuifyatua tu hata hapa JF unaweza kutumiwa, au ?

Kwani haowaliompiga risasi Lissu walikunya msikitini?
 
Shukurani kwa kuleta habari ya kunya. Kunya huwa kunatenganisha uongo na ukweli mara nyingi sana.

Kwa hiyo al-badr mpakawapate mavi yako ndo inafanya kazi?

Mavi yanawasaidia nini? Wanatafuta DNA?

Mbona unatakakuifanya kama sayansi sasa?

Mimi nilifikiri wanaweza kuifyatua tu hata hapa JF unaweza kutumiwa, au ?

Kwani haowaliompiga risasi Lissu walikunya msikitini?

Ukishafanikisha uje tuendelee na mjadala
 
Kusoma Halal Badiri au Albadiri (Ahlul-Badr) Kwa Ajili Ya Kinga Na Kuapiza Ni Shirki Na Dhambi Kuu!


Albadir imetoka katika lugha ya Kiarabu lakini kupotolewa au kuandikwa na kusomwa makosa katika Kiswahili. Wapo wanaosema Alibadirilakini makusudio ni Ahlul-Badr, yenye maana watu wa Badr (wale waliopigana vita vya Badr). Badr ni sehemu iliyo karibu na Madiynah na ndio iliyokuwa sehemu ambayo Waislamu wakiongozwa na Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) walipambana na mushirikina wa Makkah katika vita vya kwanza baina ya pande hizo mbili. Waislamu waliohudhuria walikuwa baina ya 313 – 317, lakini pamoja na idadi yao ndogo hiyo waliweza kuwashinda washirikina waliokuwa na idadi kubwa ipatayo mara sita yao.



Kisomo cha Ahlul Badri inakuwa ni kutaja majina ya Maswahaba (Radhiya Allaahu ‘anhum) mmoja baada ya mwingine. Katika kutaja huko ni Imani ya mwenye kusoma hao Maswahaba (Radhiya Allaahu ‘anhum) wanamsaidia kwa njia moja au nyingine. Ima kupata kitu alichopoteza au kilichoibiwa au kulaaniwa aliyefanya. Na hii katika Uislamu ni njia moja ya shirki ambayo Allaah Aliyetukuka na Mtume Wake (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) wameikema na kuipiga vita sana. Allaah Aliyetukuka Anasema:

“Hakika Allaah Hasamehe kushirikishwa, na husamehe yaliyo duni ya hilo kwa Amtakaye. Na anayemshirikisha Allaah basi hakika amezua dhambi kubwa” (4: 48). Shirki ni dhuluma kubwa sana.
Cc FaizaFoxy

Naomba utupie neno hapa...
 
Hujasoma nilichoandika, kama umesoma hujaelewa, kama umeelewa una hila, kama huna hila una mtindio wa ubongo.

Mkuu mbna unacheza na maneno kma binti anaye tongozwa karibu na kwao

Nime kupa task either u do it or discusion is over nyie keyboard heroes mnaweza andika hadi asubuhi but hamnaga guts in real life
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom