Sasa wewe unamtaja miss chagga Mimi nifanyaje. Unajua baba P mchaga mbele ya hela yupo radhi Mume wake achepuke? Sasa ameniahidi 20% ya hela atakayokuchunaHahhha umenichoka babe unakaribisha wengine??? Mi nataka unichune weewe tuu
Weewe ndio angalia utampa ngapi?? Ukiona vema babeSasa wewe unamtaja miss chagga Mimi nifanyaje. Unajua baba P mchaga mbele ya hela yupo radhi Mume wake achepuke? Sasa ameniahidi 20% ya hela atakayokuchuna
aje na kale kamzigoAsante mama. sumbai Mimi sina shida na Leo pita kwa miss chagga
Aisee wewe weka oda Mungu akuumbie.mimi navutiwa na hawa
1. mwenye vichunusi vifuani au mgongoni
2. mwenye meno mawili ya juu yaliyo mbele yawe makubwa na yameshikana
3. vidole virefu na mikono laini
4. mweupe
5. miguu minene kiasi
6. chura mdogo
7. urefu wa washani
Duh, mkuu hapa nimekukubari. Kuna madam mmoja namsaka anakaharufu fulani amazing nahisi kanatoka kwapani. Nikimpata huyo nitafurahe je...!!!Mi mwanamke hata awe mzuri kama malaika halafu hanuki makwapa, kwa kweli bora nilale na mnyama tu.
Duh, mkuu hapa nimekukubari. Kuna madam mmoja namsaka anakaharufu fulani amazing nahisi kanatoka kwapani. Nikimpata huyo nitafurahe je...!!!Mi mwanamke hata awe mzuri kama malaika halafu hanuki makwapa, kwa kweli bora nilale na mnyama tu.
Mmhh sio ya hivo sasa!! Macho katoa kaa ninjaEti macho?View attachment 401476
hahahahaahhahahaUkiona macho ya miss chagga Au cute b changanya na upole flani hivi kama Wa sister Heaven Sent hakyanan unaweza umpe wallet yote
Tatizo vijana wengi wa karne ya 21 wamekua Addicted saaana na Ponography kiasi ya kwamba wako na attractions ambazo sio natural bali ni za kubadilishwa akili zao. Vitu kama macho, urefu, ufupi, rangi ya mwili wake, sauti ni vitu Natural mwanaume kamili akiviona anakua attracted. Kwanza asiwe na kitu chochote kizuri still mwanaume you will be tempted Na Huyo mwanamke.Watu wengi wamekua wakija au kuleta falsafa mbalimbali hasa kwenye kumnadi na kunakshi nakshi mwanamke wengi wao wakisema Mwanamke "TABIA"....Mi kwangu hyo ziada tu kama riba bank!!
Na kasumba ya wanaume wengine kupenda CHURA mkubwa Mi kwangu bado!!
"Sasa kinachonitia kichaa ni jicho la mwanamke"
Daahh yaan hapa nikikutana na mwanamke mwenye macho mazuri huwa nasisimka na kuwa na hamu naye isiyo na kipimo!!
Hayo mengine kwangu n kama nyongeza...Jaman wenye macho mazuri wanatia hamasa yaan! na ndo wachache daahh hawa viumbe
Allah jalia viumbe wa hivi wapitie niliko!!
View attachment 400452View attachment 400454View attachment 400455View attachment 400456View attachment 400457
Jicho ni jicho mkuu..acha ubaguzi.Mmhh sio ya hivo sasa!! Macho katoa kaa ninja