Jicho ndo habari ya mjini

Jicho ndo habari ya mjini

Kwa ujumla mwili wote wa mwanamke unavutia, macho,mziwa, uso, midomo, mashavu, shingo,nywele, kiuno, hipsi, miguu, kucha, mpangilio wa meno mdomoni, vidole vya miguu, suti nk, nk.

Lakini mimi nafsi yangu hasa inapenda mwanamke mwenye mkia.
na mimi pia
 
Jicho likiwa kubwa afu linarembuliwa ndo tamu!! Utatoa tuu hela bila hata kupenda!!
Daah kama hapa jirani kuna dem anajicho LA hivo duuuhh ni hatari akikuangalia unaweza kuharibu
 
mkia unahusika sana
HIV mkia ndo nn
Watu wengi wamekua wakija au kuleta falsafa mbalimbali hasa kwenye kumnadi na kunakshi nakshi mwanamke wengi wao wakisema Mwanamke "TABIA"....Mi kwangu hyo ziada tu kama riba bank!!

Na kasumba ya wanaume wengine kupenda CHURA mkubwa Mi kwangu bado!!
"Sasa kinachonitia kichaa ni jicho la mwanamke"

Daahh yaan hapa nikikutana na mwanamke mwenye macho mazuri huwa nasisimka na kuwa na hamu naye isiyo na kipimo!!

Hayo mengine kwangu n kama nyongeza...Jaman wenye macho mazuri wanatia hamasa yaan! na ndo wachache daahh hawa viumbe
Allah jalia viumbe wa hivi wapitie niliko!!

View attachment 400452View attachment 400454View attachment 400455View attachment 400456View attachment 400457
 
Una weza shangaa ndio msomi unae tegemewa lakini la maana unalo liona ni macho ya wadada tu!! Yaani hii Nchi alie turoga alisha kufa walahi.
Sasa wewe usomi na mapenzi kuna uhusiano gani!! Ukiwa msomi unakua huna sifa za binadam kama kupenda na kutamani!! Haya mambo ni natural

"Elimu haitusaidii kuondoa natural desire Ila inatusaidia kuondoa ujinga"
 
Umeua chief! Umenichekesha sana
Kuna wanawake wanapenda harufu za wanaume tena ile natural! Nimeenda hospital nimekutana na mwanamke mmoja et kabeba singlend ya mume wake tupo kwenye foleni anakaa kidogo anaitoa anainusa tena anairudisha!! Yaan hivi vikwapa kunawatu wamekua Addicted kwenye hizi mambo
 
Hebu ngoja namie nianze kuzungushazungusha haya macho labda nitaonekana lol
 
Cheki jicho iloo
Dah huyu Mungu ni fundi jamani ,jicho hilo ,hizo lips rangi ya ngozi ,Nywele zake sio za farasi na kauso ka mviringo ,Dental formula ,halafu ukute upstairs yupo smart halafu amejibeba kiasi

Ngoja hii picha nikaifanyie kazi
 
Back
Top Bottom