Unatoa tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,akikuangalia na awe anajua kuyatumia ndio oooooooooooooh weye hoiiiiiiiiiii...Jicho likiwa kubwa afu linarembuliwa ndo tamu!! Utatoa tuu hela bila hata kupenda!!
na atm atatoaUkiona macho ya miss chagga Au cute b changanya na upole flani hivi kama Wa sister Heaven Sent hakyanan unaweza umpe wallet yote
Kupata chura siku hizi si issue wapo wa kununua kama ulivyokuwa weupe.lkn jicho hawezi kununua.Chura muhimu
Kwa kuongezea kila jicho zuri lina mvuto wake.Watu wengi wamekua wakija au kuleta falsafa mbalimbali hasa kwenye kumnadi na kunakshi nakshi mwanamke wengi wao wakisema Mwanamke "TABIA"....Mi kwangu hyo ziada tu kama riba bank!!
Na kasumba ya wanaume wengine kupenda CHURA mkubwa Mi kwangu bado!!
"Sasa kinachonitia kichaa ni jicho la mwanamke"
Daahh yaan hapa nikikutana na mwanamke mwenye macho mazuri huwa nasisimka na kuwa na hamu naye isiyo na kipimo!!
Hayo mengine kwangu n kama nyongeza...Jaman wenye macho mazuri wanatia hamasa yaan! na ndo wachache daahh hawa viumbe
Allah jalia viumbe wa hivi wapitie niliko!!
View attachment 400452View attachment 400454View attachment 400455View attachment 400456View attachment 400457
Ahahahahahaaaaa de kibokoMi mwanamke hata awe mzuri kama malaika halafu hanuki makwapa, kwa kweli bora nilale na mnyama tu.
Yap kupata chura ni ishu Ila ukiipataKupata chura siku hizi si issue wapo wa kununua kama ulivyokuwa weupe.lkn jicho hawezi kununua.

Hahaha ntakupa wallet mamana atm atatoa
mkiaaaaa, fafanua mkuuu kikikkkkkkmkia unahusika sana
mhhhh my bloodbrother, ya miss chagga unayaonaga muda gani to start with?Ukiona macho ya miss chagga Au cute b changanya na upole flani hivi kama Wa sister Heaven Sent hakyanan unaweza umpe wallet yote