Jicho lililopotea

Jicho lililopotea

Nlipoona Kichwa cha habar nikajua wahuni wamekula jicho na umepoteza marinda..
 
Macho machoni
Uoni uonekenao
Wazizi kwa wana
Mafunzo adhimu

Bazazi
 
Nikiwa mdogo, Mama yangu alikuwa anawasiliana nami kwa macho..., bila kutamka na nilikuwa namuelewa vizuri!!

Jicho hilo silioni siku hizi miongoni mwa akina mama.

Ilikuwa wageni wakija nyumbani, mimi kama narukaruka na kucheza mbele ya wageni bila staha, kulikuwa na namna fulani ya mama kuniangalia ilimaanisha "toka hapa". Nilielewa mara moja na kutii!!

Ilikuwa wageni wakila chakula nami kutaka kudowea, basi kulikuwa na uangaliaji wa mama ambao ulimaanisha " ukijaribu tu nitakuchuna ngozi ukiwa hai!" lakini wakati huohuo kwa wageni uso wake ulimaanisha "endeleeni tu, huyu dogo ameshakula...."

Ilikuwa mkiwatembelea ndugu na ukataka kulilia kitu cha watu, kulikuwa na jicho fulani hivi toka kwa mama lililoonyesha kuwa "Ukifanya ng'ee tu tukifika nyumbani nitakukaba shingo, sitaki ujinga.."

Lakini wanawake wa leo, namaanisha akina mama wa leo ehhh..., vioja. Macho yao yamepofushwa na nini sijui..! Labda ni hizi kope za bandia wanazozivaa au hizi rangi wanazopaka kwenye nyusi!!

Kusema ukweli macho yao hayana mawasiliano na watoto wao

Wazazi wetu wa zamani, Mungu awajaalie maisha marefu. Ninyi ndo mlitutengeneza tukawa hivi tulivyo leo. Hatuna tamaa ya vitu vya watu..........

Nakala:
- Wanaume wote
- Akina mama vijacho wote
Nasikia na mkuu wa kaya anawssiliana na mkewe kwa kutumia kofia akiiweka upande ujue huyu mgen usimletee hata maji akiivua akaiweka gotin huyu mgeni mletee chakula na vitu kmhivyo
 
Nasikia na mkuu wa kaya anawssiliana na mkewe kwa kutumia kofia akiiweka upande ujue huyu mgen usimletee hata maji akiivua akaiweka gotin huyu mgeni mletee chakula na vitu kmhivyo
 
mzee umenikumbusha mbali mno

mmeenda ugenini wakatenga msosi alafu mkakaribishwa mle,unamuangalia kwanza bi mdashi,kuna namna akikuangalia apo kula,na kuna namna akikuangalia usiguse yani hata kama unanjaa utasema umeshiba afu na yeye anakwambia kulaaa huku anakukata jicho

hatukuwa tunapractice au akinambia ila we had deep connections,tatizo watoto wa sasa hivi wanakua kwa maziwa ya ng'ombe,wanajisaidia kwenye mapoti hawatengwi miguuni,hawabebwi na mama zao na kwenda umbali mrefu na vitu kama hivyo!!
Nmemkumbuka Bi mkubwa isee
 
Lakini wanawake wa leo, namaanisha akina mama wa leo ehhh..., vioja. Macho yao yamepofushwa na nini sijui..! Labda ni hizi kope za bandia wanazozivaa au hizi rangi wanazopaka kwenye nyusi
emoji1352.png
emoji3130.png
!!

Kusema ukweli macho yao hayana mawasiliano na watoto wao
emoji41.png
emoji41.png

Wazazi wetu wa zamani, Mungu awajaalie maisha marefu. Ninyi ndo mlitutengeneza tukawa hivi tulivyo leo. Hatuna tamaa ya vitu vya wat
mshana jr Kweli weye ni jiniasi. Ulikaa wapi ukaliwaza hili?? Yaani hili ni somo tosha kwa Kungwi. Kicheni patii ndio lingelikuwa somo someka hili. Lakini makungwi wa leo, Sijui wamelogwa na nani jamani. Namaanisha wewe kungwi weye, njoo kwa mshana jr ujifunze ya kukiokoa kizazi hiki. Sio mnabaki kuwafunza ati "Usitosheke na figa moja, tafuta la tatu ndo ugali utasongeka. Upuuzi mtupu kusifiana michepuko
 
Nasikia na mkuu wa kaya anawssiliana na mkewe kwa kutumia kofia akiiweka upande ujue huyu mgen usimletee hata maji akiivua akaiweka gotin huyu mgeni mletee chakula na vitu kmhivyo
 
Sio mnabaki kuwafunza ati "Usitosheke na figa moja, tafuta la tatu ndo ugali utasongeka. Upuuzi mtupu kusifiana michepuko
mshana jr Kweli weye ni jiniasi. Ulikaa wapi ukaliwaza hili?? Yaani hili ni somo tosha kwa Kungwi. Kicheni patii ndio lingelikuwa somo someka hili. Lakini makungwi wa leo, Sijui wamelogwa na nani jamani. Namaanisha wewe kungwi weye, njoo kwa mshana jr ujifunze ya kukiokoa kizazi hiki. Sio mnabaki kuwafunza ati "Usitosheke na figa moja, tafuta la tatu ndo ugali utasongeka. Upuuzi mtupu kusifiana michepuko
 
Enzi za utoto wetu mama zetu walikuwa wakiwasiliana nasi kwa usiri pasipo upande wa pili kuelewa nini kinaendelea baina ya mama na mtoto. Unaonywa pasipo mtu wa pembeni kuelewa kama umeonywa au kukatazwa kufanya kitu. Siku hizi hakuna ufundi kabisa katika kulitumia jicho kuwasiliana na mwana na akaelewa wamaanisha nini. Nafikiri ufundi huo umehamia kwenye kuperuzi katika mitandao ya kijamii.
Ufundi wao umehamia kitandani, wakata viuoni mikono mfukon kwa mwanaumw
 
Nimekumbuka mbalii, jicho la bimkubwa si haba, akikuangalia tu utaelewa anamaanisha nini, kuna siku nipo Kwa jirani napiga msosi na mtoto mwenzangu ,naskia mama ananiita nikakausha naendelea kula ,ilibidi aanze msako Wa nyumba Kwa nyumba si ndo akanikuta nipo nakula hilo jicho alilonitupia niliona kabisa Leo ndiyo Leo nikirudi home ananiua huyu, akasema tu aah kumbe yupo huku basi, yule mama akamwambia mwache amalizie kula na mwenzie akaitikia " haya akimaliza aje namuhitaji akaondoka,

Yaani hata sikumaliza kula nikachomoka fasta namfata nyuma ,anazuga umemaliza kula kwani? Nikamjibu nimeshiba nisamehee mamaa, nalia kabla hata sijadundwa , niliskia tu akiniuliza humu ndani sipiki?nikajibu unapikaa wee kilichofata ni vibao mixer mwiko

Ila hawa watoto Wa sikuizi mmh, ni mwendo Wa "Junia don't do that " huku unamchekea yaani "huyu mtoto"
 
Hahahaha! Huo muda Junia anaambiwa don't do that! Naye utamsikia akijibu I don't play with you mom! Si umenikataza kula kwa kina Gift..( Alaaaaaa!)
 
nimekumbuka zamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom