😅😅😅😅Kuna za chini ya kapeti kwamba Mwendazake hali ilivyokua mbaya (Kupumua kwa Jeki, Kuhema kwa Pampu - Konda wahi kuweka kigingi gari linatoka nje ya barabara) yule Katibu Mkuu wa Chama Cha Mataga alikua akitumia "SIMU YA MKONONI" ya Mwendazake.
Akawa akiwatumia "SMS" wambea wa Jamhuri kwamba hali yangu ni nzuri na ninafanya kazi za ndani za ikulu (Sijui kazi hizo za ndani zilikua ni usafi au deki) ondoeni shaka kabisa, na akamtumia sms "MUWEKA HAZINA" ahamishe kiasi fulani cha mzigo kwenda Account Number fulani kwaajili ya kuninunulia mashine za matibabu yangu . . . .
Mungu si athumani wala joti, Mama akashika rungu na kulibwaga sinia la pilau puuuuuuuhhh chini likajaa mchanga ndani ya muda mfupi . . .
#Nawasalimu kwa jina la CAG (Itikieni "Tumeibiwa sana wanyonge ila bado hatujakoma")