Jicho la tatu Arusha na Lema linavyoona

Haya mameno nimezoea kuyasikia kwenye mikutano ya injili ya kakobe na mzee mzee wa upako, sasa sijui kwenye siasa yanaingia vipi!
na kule kwa wavaa vipedo na malapa umezoea kuSikia nini?
 






















Sura zenyewe tu zinaonyesha ni wachovu na mazezeta waliotumiwa na CCM kuihujumu CHADEMA. Bila shaka watakuwa wameandaliwa zawadi nono ya Mafisadi wa CCM baada ya kufanikisha hujuma hii.

Wajue tu kwamba Mungu huwa analipa hapahapa. Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu. There is a day they gonna pay for it.
 

arumeru!!
 

una wazo zuri,ngoja wakuu wafanye utafiti then watacome out na good candidate.sisi tupo tayari kumpa ushirikiano mwana cdm yoyotn atakaye simamishwa.
 

wewe ni m......................s................e.........................n.............g..................e
 

Huu ushenzi hapa Arusha haupo endelea na huo ujinga wako huko huko. Descipline yako ni sifuri wewe!!!!!!!!!!!!!!
 

They are going to reap very SOOON!!!
 

Arumeru sio tanzania , CDM ukabila na udini uliojaa bado mnasafari ndefu !... ! About ushindi wa Arumeru
:nono: You should know Even a blind squirrel finds a nut once in a while....!! pole zake Lema finally haki imetendeka!

We tunakufahamu ni walewale wa kunywa kahawa pale maeneo ya msikitini huna lolote!!!!!!!!!!!!!!!
 

unadhani basi hawa watapata lolote???wataishia kulia tu kwani kama waliadiwa lolote hawatapewa na mwishowe watajinyoga siku lema anaapishwa tena
 
Sioni jipya hapa kwani akilini kwangu bado naamini mahakama ni kwa ajili ya kukandamiza mnyonge tangu zamani kwa Tanzania. Ipo wapi Hukumu ya (EPA,TRL,BOT,Ditopile, n.k) nani asiyejua kwamba presidaa naye alichakachua??? sawa ni sheria lakni kweli kesi ya tusi inarudisha uchaguzi mwingine??? tusubiri na waliokamatwa na masanduku ya kura segerea n.k hukumu itakkuwa kituko tuu.
 
hakuna mtu wa kujitolea kuondoa hivi vichwa vitatu na huyo jaji visibaki duniani
 
Toa ushahidi (audio/visual) wa matusi ya Lema!!

Ushahidi wa matusi ya Lusinde hupo, nenda Youtube utajionea na kusikia!!

Nzi,
Unataka ushahidi gani zaidi ya hukumu ya Mahakama Kuu kanda ya Arusha chini ya Jaji msomi Gabriel Rwakibarila.
 
sisi tuna watu hatuna fedha
 
Ni swala la msingi sana wana Chadema kufanya uchunguzi kabla ya kuchagua mgombea uchaguzi, Tunajua Arusha tunakubalika lakini je bado mgombea wetu anakubalika? Vilevile Tujihamasishe na tumchangie lema ili aweze kulipa gharama za kesi.
 
Du Lema anatisha kumbe kiasi hiki! kwani nahesabu threads tu humu JF kuhusu Lema ni nyingi balaa, CDM nadhani viongozi wakubwa wasiwe na shaka Arusha, machali wa hapo A town naamini wanatosha, lakini kutokana na hali ngumu ya maisha kama kawaida, kula CCM, kura CDM.
Hata siku moja nguvu ya umma haishindwi popote, kuhusu fedha, CDM haitakaa iishiwe kamwe, kwani fedha nyingi za kampeni wanachanga walalahoi wenyewe
 
Nzi,
Unataka ushahidi gani zaidi ya hukumu ya Mahakama Kuu kanda ya Arusha chini ya Jaji msomi Gabriel Rwakibarila.

Ni kwamba hujamuelewa au unaleta umagamba, kasema umuwekee clip ya video au audio kama ile ya lusinde inayomuonyesha LEMA akimwaga matusi....wewe unaaza kuzunguka zunguka!!!
 
Kayoka,
Hutuwezi kuchukizwa na matusi ya Lusinde halafu tufurahie matusi ya Lema...sidhani kama Lema kaonewa, maneno yake ndio yamemfikisha hapo kajifunza uchaguzi ujao anafanya kampeni za kiungwana.

kwa hiyo Lusinde naye afutiwe ubunge wake,!? Jibu hapana hilo haliwezekani.
Nina imani thabiti kwamba hawa watu wachache wametumika kuidhurumu haki ya huyu mtu mnyonge tema chaguo la wengi.
Inakuwaje aliyetukanwa ama kukashfiwa hajaenda mahakamani lakini hawa wakaweza kufanya hivyo.!!
siasa bwana...!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…