Jicho la tatu Arusha na Lema linavyoona


Jamani, I think mwanachana wa CHADEMA MWENYE KADI NAMBA CDM 0487097, ana point.
Yeye hajakataa wala kushauri Leama asigombee.
Yeye ametoa angalizo.
Hakuna haja ya kuchukuliwa hili jambo kirahisi.
It is better to think outside the box.
Kuna haja ya kufanyia kazi.
 
nafasi ya lema ipo na ya slaa ipo acha propaganda za magamba wee majashoo!!!
 
Umetumwa sio bure, hata Dr hawezi kukubali; He is for now a presidential material only LEMA Utarudi tu UBUNGE ARUSHA kama kawa
 
Good analysis,:smile-big: sio kitu cha kudharauliwa.
Ni vema kufikiria the other side of the coin.

CDM wafanyie kazi.
Acha watu waongee ushabiki wa kwenye mtandao wakipoteza jimbo ndio watajua nilikuwa namaanisha nini na nimejibainisha kama mwanachama wa CDM maksudi kwani nilijua wengi watafikiri nimetumwa au ni mwana magamba.
Tuangalie hali halisi jamani najua wakuu wa chama watalifanyia kazi hili.
kwa upande wangu siwezi kuwapigia magamba kura maisha kama chadema wakisimamisha jiwe nitalipigia kura,
nimeongea haya ili kupanua wigo wa kufikiri ushindi wa kishindo kwa Chadema kwenye uchaguzi wa marudio.

Tuangalie changamoto zinazotukabili kwa na CCM wana mbinu na nyingi ni chafu
 
Ewe ndg yangu ccm wanatoa hukumu tangu siku nyingi, hivi hukum ya babu seya na wanae mnaijua! Kwenye nchi yetu hatuna mahakama huru, mahakama ni ccm. Maskini babu sea hana kosa yuko jela.


lakini ni vizuri ulinzi ukiwepo ili kuchukua tahadhari kwani huwezi jua wananchama wanaweza kuvamia mahakama kwa hasira za kuvuliwa ubunge mwakirishi wao, ili kuepusha lawama kwa polisi ile huwa wanapewa kuwa polisi walikuwa wapi hadi watu wanavamia ama wanaleta fujo.
 
Dr. Slaa and Lema has two different qualities. wote ni wa muhimu
 
ccm twajimaliza wenyewe kwa kesi hata kama tunashinda mahakamani tuna wapromote cdm bureee. tumekweishaaa.
 
Au ni ADC?

Mkuu usikonde,
Nasubili nakala ya mahakama juu ya hukumu Lema,pengine kesho jioni mwanasheria wangu akaipata nakala hiyo,kisha j,3 ntafunguka kwa waandishi wa habari pale GOLDEN ROSE HOTEL!
 
Lema najua anakubalika lakini kichama lazima kutakua na mchakato ndio maana hasa ya demokrasia ..Ikiwa kama bado wanachama wapiga kura wana imani naye hilo ndilo la muhimu ..lakini pia kama kuna mtu mwingine mwenye mawazo mapya ndani ya chama akaonekana kua na sera nzuri na vision zaidi yake ..pia tumpe ..Lema ni kamanda wa ukweli lakini makamanda ndani ya chama wako wengi sana ,,ndio maana ya mabadiliko sio kwa CCM tu hata kwa CDM ..
 
waangalie kusije kukatokea mauaji the Heague itawasubiri waone wenzao wa kenya wanavyo haha
 
Inavoonesha bila ccm watakufa njaa.hawakujua wanazidi kushusha hadhi ya chama chao mbele ya umma?
 
until this time, Lema bado anakubalika A-town
 
CCM haitalipata jimbo la Arusha kamwe.
Tunamuaibisha shetani kwenye sanduku la kura kwa mara ya pili,
subiri uone.
 
njoo wew,mama yako, watoto wako,naapa ccm hamtakaa mchukue arusha mjini.....tupo hapa na tutakuwepo hapa.

sio utamaduni wa wanachadema kutukana tunajua asili ya matusi ni kwa wanamagamba kwani tumeshuhudia hayo kwenye kampeni za arumeru mashariki
 

Umechanganya na akilil zako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…