Jicho la nne ono la njia ya kuzimu

Jicho la nne ono la njia ya kuzimu

Je kuna andiko linalo onyesha alishuka ? Hili linaonyesha ahadi aliyo isema. Mtoa mada anasema Mungu alishuka.
Alitoa ahadi ya wakati uliopo, na siyo ujao. Hivyo ni wazi alishuka Mkuu, angalia maneno. "...basi nitashuka sasa..." neno SASA linamaanisha wakati uliopo endelevu(present continuous). Nidhahiri alishuka Mkuu.

Pia kuiadhibu sodoma, inamaanisha alijiridhisha pasipo shaka yeye mwenyewe.
 
Dah mwana hebu ingia hata Google hapo ulipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hauko serious,mwenzako ameweka matini ambayo haijajibu swali langu bali imeongeza tena swali.

Naposema uweke matini,nskusaidia na wewe,ili sote tutoke na ufahamu mmoja. Mijadala ya kielimu haiendi kwa mtindo huu.

Umetuandikia Mungu alishuka,matini iliyowekwa inaonyesha ahad,wapi na wapi ?
 
Alitoa ahadi ya wakati uliopo, na siyo ujao. Hivyo ni wazi alishuka Mkuu, angalia maneno. "...basi nitashuka sasa..." neno SASA linamaanisha wakati uliopo endelevu(present continuous). Nidhahiri alishuka Mkuu.

Pia kuiadhibu sodoma, inamaanisha alijiridhisha pasipo shaka yeye mwenyewe.
Hii bado ni wakati ujao mzee,katika lugha hakuna kitu kama hicho. Weka andiko linalo onyesha wakati uliopo.

Hivi matamko mathalani "basi nitashuka sasa" na sentensi "basi nashuka sasa" ni sawa au "basi nimeshuka sasa"
 
Mkuu kwa hiyo binafsi unaamini hakushuka.? Hajatimiza ahadi yake hadi leo? Maana nimeona tukianza kujadili tenses tutatembea safari ndefu.
 
Hauko serious,mwenzako ameweka matini ambayo haijajibu swali langu bali imeongeza tena swali.

Naposema uweke matini,nskusaidia na wewe,ili sote tutoke na ufahamu mmoja. Mijadala ya kielimu haiendi kwa mtindo huu.

Umetuandikia Mungu alishuka,matini iliyowekwa inaonyesha ahad,wapi na wapi ?
Brother si muda wote tunakuwa tumetulia mahali kuweza kufanya jambo kwa nafasi, hivyo sometimes unatafuta the most compatible way kutoa usaidizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1226477470-2003345639.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa hiyo binafsi unaamini hakushuka.? Hajatimiza ahadi yake hadi leo? Maana nimeona tukianza kujadili tenses tutatembea safari ndefu.
Nitaamini vipi wakati hakuna andiko hilo ?
 
Brother si muda wote tunakuwa tumetulia mahali kuweza kufanya jambo kwa nafasi, hivyo sometimes unatafuta the most compatible way kutoa usaidizi

Sent using Jamii Forums mobile app

Mwanzo 18:21 BHN​

"Hivyo nitashuka kwenda huko nijionee mwenyewe kama kweli wamefanya kadiri ya kilio kilichonifikia. Nataka kujua.”

Hii ndiyo matini kaka,je kuna andiko linalo onyesha alishuka kulingana na ulicho kielezea katika mada yako ?
 
. Huwa ninajiuliza sana. Hivi inakuwaje binadamu wa Kawaida unakwenda kuatumia jicho ambalo kama Mtumiwaji ana choo cha Shimo, kila saa akienda Chooni Jicho lina Kazi ya Kutoa na Kuangalia Makimba??

Unapata binti mrembo uliyekuwa unamfukuzia siku nyingi.
Mnakubaliana miadi ya kwenda kuburudishana, siku ya miadi kila mmoja anajiandaa vilivyo kwa perfume za bei mbaya....halafu mstokeo yake mnaenda kunukishana VIMA tu!!!
Akilii, matope??[emoji34][emoji34][emoji34]
 
Pole ilikuwaje?
Jamaa yangu alikuwa anaishi mkoa tofauti na mkewe. Jamaa alikuwa anafanyia kazi Dar, sasa akawa amepata mchepuko huko Dar. Jamaa yangu alipewa jicho la 4 akamsahau mkewe mwisho wa siku ndoa ikavunjika.
 
Mwanzo 18:21 BHN​

"Hivyo nitashuka kwenda huko nijionee mwenyewe kama kweli wamefanya kadiri ya kilio kilichonifikia. Nataka kujua.”

Hii ndiyo matini kaka,je kuna andiko linalo onyesha alishuka kulingana na ulicho kielezea katika mada yako ?
Nilinukuu andiko la aliyejibu, hebu fuatilia utaona..Sikuweka uzingativu kwenye hiki unachouliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
. Huwa ninajiuliza sana. Hivi inakuwaje binadamu wa Kawaida unakwenda kuatumia jicho ambalo kama Mtumiwaji ana choo cha Shimo, kila saa akienda Chooni Jicho lina Kazi ya Kutoa na Kuangalia Makimba??

Unapata binti mrembo uliyekuwa unamfukuzia siku nyingi.
Mnakubaliana miadi ya kwenda kuburudishana, siku ya miadi kila mmoja anajiandaa vilivyo kwa perfume za bei mbaya....halafu mstokeo yake mnaenda kunukishana VIMA tu!!!
Akilii, matope??[emoji34][emoji34][emoji34]
Kuna watu wanaitwa mende bila harufu hawafiki mwisho na kuna jinsia pinzani bila kukunwa hilo eneo haoni hawaoni raha
giphy.gif

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha kushangaza mno ni kwamba dunia ya sasa ushabiki wote ni kwenye jicho la uono wa kuzimu.... Je unabii utajirudia? Maana miji ya Sodoma na Gomora iliangamizwa kwa sababu ya watu kupenda mno jicho la uono wa kuzimu.....

Jicho la nne.... Tunaziishi enzi?[emoji23]
 
Funguka zaidi hapo priiiz
 
Ila kuna nini.. siku hizi kuna yanayokugusa sana unayoyajua au kuyaona.. uzi tafadhali Kaka.. 😆
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom