Jicho la nne ono la njia ya kuzimu

Jicho la nne ono la njia ya kuzimu

Aisee me sisemi kitu haki.Nikimkumbuka Yule dada!!!!
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87] ana jicho tamu[emoji102][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Watu naona mmehamia kwenye mchezo wa Sodoma.
Mmesahau Dhima halisi ya mada kuwa.
Shetani na washirika wake yaani wanga na washirikina kumbe huona kwa kutumia hilo jicho la Nne.
Hili ndilo somo lililoko mezani.
Huko Sodoma kuliisha fahamika kitambo.

Hakika mtoa mada uko juu kileleni.
 
[emoji23][emoji23][emoji123][emoji123][emoji123][emoji120] shida hiyo kitu ndio gumzo hivyo ni ngumu kuwanasua huko
 
LoH
[emoji23][emoji23][emoji123][emoji123][emoji123][emoji120] shida hiyo kitu ndio gumzo hivyo ni ngumu kuwanasua huko
Ati nini...!
Yaani hadi wanashindwa kutafakari mada husika kwa kina na kuilewa.
Yaani wako kwa Mungu kidogo na kwa Shetani kidogo.
Hawa watu wamesha changanikiwa na huo mchezo.
Ni Hatari
 
LoHAti nini...!
Yaani hadi wanashindwa kutafakari mada husika kwa kina na kuilewa.
Yaani wako kwa Mungu kidogo na kwa Shetani kidogo.
Hawa watu wamesha changanikiwa na huo mchezo.
Ni Hatari
Yani unaona wazi wazi kabisa jamii inapoelekea.... Na tusidanganyane kuidhibiti hii hali sio kitu rahisi hata kidogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom