Jicho la nne ono la njia ya kuzimu

Jicho la nne ono la njia ya kuzimu

Ni automatic generated labda niweke picha tofauti inaweza kutoka
Mkuu Mshana Jr
Hiyo picha ya matako na uume inaonekana hata bila kufungua uzi.
Do something please.
IMG-20191027-WA0092.jpeg
 
Hapana sio kweli kabisa JF watu hawakai na kitu rohoni hata siku moja
Mkuu Mshana Jr
Hiyo picha ya matako na uume inaonekana hata bila kufungua uzi.
Do something please.
Huyu nae kalalamikia hiyo picha
Sijapitia comments nyingine ila inawezekana wapo wengine waliolalamikia pia
Kua mstaarabu ukifuta hiyo picha haitapunguzia uzi wako kitu cha maana
 
Limesababisha wanawake ulaya kuandamana uchi sambamba na nchi nyingi za kiafrika kukosa misaada ya wahisani.
 
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Limesababisha wanawake ulaya kuandamana uchi sambamba na nchi nyingi za kiafrika kukosa misaada ya wahisani.
 
Basi naomba isiwe malumbano yasiyo na maana... Tuliache hili kama lilivyo maisha yaendelee... Asante kwa muda wako kwenye hii post na michango yako pia bila kujali kama tumekubaliana ama la [emoji120][emoji120][emoji120]
Nikujibu ili iweje sasa
 
Basi naomba isiwe malumbano yasiyo na maana... Tuliache hili kama lilivyo maisha yaendelee... Asante kwa muda wako kwenye hii post na michango yako pia bila kujali kama tumekubaliana ama la [emoji120][emoji120][emoji120]
Kwa hiyo umefuta au vip
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom