Jicho la nne ono la njia ya kuzimu

Jicho la nne ono la njia ya kuzimu

Ukijua siri ya jicho la nne utaishi kwa raha hapa duniani, "ila kwa kutesa na kuangamiza wale wasiojua hiyo siri "
 
.
IMG-20191122-WA0038.jpeg
 
Nashukuruu sijawahi kuliwa jichoooo
Wachache sana ktk wengi wawezao kifanya zambi ktk upweke kisha akasimulia hadharani na kufanya hivyo ni kosa LA pili kama ulikosea muumba akustiri kwani angeweza kukuumbua hapohapo VP tena ujiumbuwe mwenyewe badala ya kujuta na kutubia unaanza kujitangaza
 
badala ya kujuta na kutubia unaanza kujitangaza [emoji44][emoji44][emoji44][emoji116][emoji116][emoji116]
Wachache sana ktk wengi wawezao kifanya zambi ktk upweke kisha akasimulia hadharani na kufanya hivyo ni kosa LA pili kama ulikosea muumba akustiri kwani angeweza kukuumbua hapohapo VP tena ujiumbuwe mwenyewe badala ya kujuta na kutubia unaanza kujitangaza
 
Dah hii dhambi ilimkera sana Mungu. Maana alikua haamini amini kinachomfikia huko mbinguni mpaka akajisemea mwenyewe ngoja nishuke nione kama kiasi kinachonijia ndicho wanachotenda. Yaani alishuka kuja kuthibitisha [emoji23] ajionee ye mwenyewe kwa macho yake [emoji23] Mwanzo 18:21. Wakati wa Nuhu aliitandika dunia bila kushuka chini kuja kuona kinachotendwa na mwanadamu, ila kwa Sodoma na Gomora ilibidi ashuke [emoji23][emoji23] tena huku akiambatana na malaika wake. Binadamu anamvuruga sana muumba wake na mambo yake [emoji23].

Credit kwako: Kyokola

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom