Jibu ni 2, tatizo ni njia

Jibu ni 2, tatizo ni njia

Halafu kuna kilaza anapromote njia yake feki ya graph. Hiyo njia kaka hatujaikubali, haipo. Tunataka isoviwe
 
Halafu kuna kilaza anapromote njia yake feki ya graph. Hiyo njia kaka hatujaikubali, haipo. Tunataka isoviwe

Hebu mtaje huyo kilaza kwa jina na sababu za kumuita kilaza!

Generally Tatizo sio wewe tatizo ni mfumo wetu wa elimu unao mjenga mwanafunzi kujibu kile alicho fundishwa tu!! kua na upeo wa kihesabu kijana! sio kila kitu ufundishwe na mwalimu darasani!! na kama unjia yako mbadara hebu onesha clearly tukujudge kama uko sahihi.
 
Niseme tu sikupata jibu la hili swali. Miaka zaidi ya kumi imepita sasa, pengine tuna wataalam wapya wameibuka.
 
log 2 na log x zinaisha vp mkuu mbona zinabaki hata kama zote zina base 1
Kama jibu calculation yako inatoa jibu moja tu la 2, ujue kuna makosa. 1 uniacha wapi.
Graphical method kama alivyoeleza hapo juu ndugu NingaR ni sahihi zaidi
 
Niseme tu sikupata jibu la hili swali. Miaka zaidi ya kumi imepita sasa, pengine tuna wataalam wapya wameibuka.
Mkuu labda hukupitia majibu uliyopewa. September 12, 2012 NingaR alikupa jibu. Naliweka tena hapa lbda hukuliona
kijana umenofurahisha sana!!
swali kama hilo lazima utumie graphical method ndo peeke yake italeta jibu.
Anza hivi
2^x=2x
=>2^x-2x=0
hapa functionaly itakua hivi
f(x)=2^x-2x
let f(x)=y
utakua
y=2^x-2x
then make table of values kuanzia x=-4,-3,-2,-1,0,1,2,3na4
then chora graph of y=2^x-2x
kumbuka kua y=f(x)=0
then angalia katika graph yako thamani za x wakati y=0
utaona ziko 2 ambazo n
x=1
x=2
:-X=1 and X=2
 
Back
Top Bottom