Jibu ni 2, Tatizo ni NJIA. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jibu ni 2, Tatizo ni NJIA.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Shakir, Sep 12, 2012.

 1. S

  Shakir JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 635
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Hembu tusaidiane kutafuta njia itakayotumika kupata jawabu la 2.

  2^x = 2x

  (^ = power)
   
 2. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Ata moja ni jibu..
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Aply log on both side

  Xlog2=log2+logx
  Xlog2-log2=logx
  log2(x-1)=logx
  Aya endelea sasa
   
 4. Mbwiga88

  Mbwiga88 JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 640
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hapo ni Trial and Error method jibu ni 2 or 1
   
 5. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  toka nianze kusoma Mathematics sijawahi kutana na swali la mtindo huu yaani power ni function pia vilevile function iko katika terms, hapo mzee wacha niingie chimbo kwanza
   
 6. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  hivi hii trial and error nayo inasomwa kwenye hesabu? Nilisoma Advanced Maths lakini sidhani kama niliwahi kusoma hii kitu.
   
 7. S

  Shakir JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 635
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Endelea wapi wakati umekwama mkuu?
  Nasikitika Aza Boy mwenzangu unashindwa hii kitu!!
   
 8. S

  Shakir JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 635
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Haikubaliki kaka,
  Shusha formula hapa tupate jibu
   
 9. S

  Shakir JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 635
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Sawa,
  But inapatikanaje?
   
 10. S

  Shakir JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 635
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Ndio hili umekutana nalo sasa mkuu wangu.
  Tena wewe ndio nlikua nakutaka,
  Ulivyokokotoa ile integral calculus nikaingia chimbo kuibuka na hili swali.
  Although you are "kichwa" enough but huwezi kupata 100% mkuu, you have to surrender.
   
 11. m

  mwanamabadiliko JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 80
  Jamani naomba leo tumalize mjadala wa hili swali, kwanza muelewe hil sio swali la exponent la o level, kwa wale waliosoma advance watanielewa. Mana hii ni calcus, na ni simpo sana. Swali hili jibu lake lipo ktk eqn. Hakuna njia yoyote ya calculation utasovia na ukapata jibu hata ukitumia log. Labda ufoj kwa kupachka jibu. The SOLUTION: kwanza mtambue hili ni swali la second order non linear differential equation with mixed number. Here it is a.d^2y/dx^2+ b.dy/dx+ky= 2x-2^x. Because coeffnts a,b,k= 0 , the eqn is reduced to 2^x= 2x. Hili swal halwez kutka necta mana ni rahsi , AU Litakuwa marks 1 .one of the easiest 2nd eqn of diffential, pia jibu lake sio 2 kama mnavofkiri, jibu ni interms of y that is the solution of DE. We discused this with my lecturer Dk. MHERE udsm, 2010 during my 2nd yr of eng. Degree. For more info, u can go to see the Dr. In DEPARTMENT OF MATHEMATICS AND COMPUTER SCIENCE
   
 12. p

  pretty n JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Aaaaaaaaaagggrrrrrrrr kichwa kinauma, napita tu.
   
 13. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  kijana umenofurahisha sana!!
  swali kama hilo lazima utumie graphical method ndo peekeyake italeta jibu.
  Anza hivi
  2^x=2x
  =>2^x-2x=0
  hapa functionaly itakua hivi
  f(x)=2^x-2x
  let f(x)=y
  utakua
  y=2^x-2x
  then make table of values kuanzia x=-4,-3,-2,-1,0,1,2,3na4
  then chora graph of y=2^x-2x
  kumbuka kua y=f(x)=0
  then angalia katika graph yako thamani za x wakati y=0
  utaona ziko 2 ambazo n
  x=1
  x=2
  :-X=1 and X=2

  natumai umeelewa
   
 14. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #14
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  ngoja wa pure waje..me ni bam tu!
   
 15. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #15
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  yap.hapo unacancell log base 10
  unabaki na 2(x-1)=x
  2x-2=x
  2x-x=2
  x=2
   
 16. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #16
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  log 2 na log x zinaisha vp mkuu mbona zinabaki hata kama zote zina base 1
   
 17. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #17
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mkuu mbona ishakwisha hapo? Hata Lindugani,Matley au Fuvu alikua hatoi hizo Hesabu kwani anajua mkondo mzima ungepata,hata ukienda kwa mkemia kunywa juice utaona karatasi za miogo watu wameshusha hayo mahesabu...
   
 18. m

  mwanamabadiliko JF-Expert Member

  #18
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 80
  Watz wabish. Hiv unachoraje graph, mana hii si expontial function wala linear fx. Ni mixed, sijawah kuona graph ya mixed fuction, 1 wala mbili sio jibu. Hil swali lina solution na wala si jibu kwa sababu hii ni differential enq. Narudia tena mtaften dk.mahere udsm for more clarification
   
 19. Root

  Root JF-Expert Member

  #19
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,217
  Likes Received: 12,928
  Trophy Points: 280
  assuming theory
   
 20. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #20
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  mkuu pitia vizuri laws za log
   
Loading...