jibu la jana "nipigie kesho,nimelala"

jibu la jana "nipigie kesho,nimelala"

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
8,351
Reaction score
8,088
habari wadau,
mimi ni kijana ambae niko mgumu sana kwa wanawake pale ninapomshauri mtu mwingine lakini ni ni kinyume pale swala linapokuwa kwangu.
nina demu wangu yupo mzumbe moro. Hatuko kwenye mahusiano mazuri sana kwani mawasiliano ni mabaya mno,ni lazima nimpigie au nimtext ndio nipate jibu na jibu linakuwa short and clear "ndio,hapana,poa au sawa".
mie sio mwaminifu sana,ila duh jibu lake la jana limeniacha hoi. Baada ya kumpigia simu mara kadhaa katika line zake zote bila kupokelewa ikaja meseji toka kwenye moja ya na9ba zake....nipigie kesho,nimelala.
nipeni faraja tu wadau.....maana nshashauriwa mno kuhusu huyu binti ila huwa ushauri siufati kwani nampenda sana!
 
Kama una moyo nawe kula kobisi mpaka akutafute, lakini kwa jinsi ninavyokusoma sidhani kama unaweza kufanya hivyo.

 
Last edited by a moderator:
Subiri pakuche vizuri kisha umpigie mpenzio.... Kumbuka unampenda ati..!
 
Pole kaka usisubiri maumivu makali .....sepa kabla hujatendwa live unaona.....fanya yako mkuu
 
Kweli nimeamini ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu ,nashukuru umeongea ukweli kuwa ww si mwamninifu saana ina maana mechi za mchangani kama kawaida,mpenzi wako amegundua unampenda sana na huwezi kumuacha hata iweje
jaribu kama unataka kumuacha, ilo litambadilisha na kumfanya aamini kuwa unaweza kumuacha ila jaribu kama unauhakika na yeye anakupenda ila anakufanyia vituko otherwize sumu haionjwi kwa kulamba
 
Hii hali ni ya kawaida kwa watu wa jinsia zote,ukimpenda sana Mtanzania lazima akunyanyase yaani 90% ya wanaopendwa kweli shukrani yao ndo hiyo coz anajua lazma umtafute hata iweje.Ushauri wangu ni kwamba vaa moyo wa chuma mchunie usimtafute kabisa hadi akutafute yeye,na akikutafuta mwambie upo busy utamtafuta baadae,tumia mda mwingi kuwasiliana na marafiki wengine hasa wa kike pamoja na kufanya vitu unavyovipenda kama kuchek movie ili kupunguza kumuwaza.Onyo:Akijirudi usimuombe msamaha wala usimlalamikie kwa anayokufanyia pia ubadili mfumo wa mawasiliano yaani hadi akutafute yeye,asiporudi sio riski huyo kaa tulia,keep urself busy nenda ibadani kama huwa hauendi,Mungu atakupa akufaae kwa wakati,there is no right time in love.
 
Raha ya kupenda sana nawe upendwe sana, vinginevyo ni mateso matupu na itakula kwako.

Hahahahaaa amesema hua hafuati ushauri, kwakua anampenda sana!
 
Raha ya kupenda sana nawe upendwe sana, vinginevyo ni mateso matupu na itakula kwako.
BAK yaelekea hiyo raha unaijua vilivyo wewe eeeh?:happy:
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Hii hali ni ya kawaida kwa watu wa jinsia zote,ukimpenda sana Mtanzania lazima akunyanyase yaani 90% ya wanaopendwa kweli shukrani yao ndo hiyo coz anajua lazma umtafute hata iweje.Ushauri wangu ni kwamba vaa moyo wa chuma mchunie usimtafute kabisa hadi akutafute yeye,na akikutafuta mwambie upo busy utamtafuta baadae,tumia mda mwingi kuwasiliana na marafiki wengine hasa wa kike pamoja na kufanya vitu unavyovipenda kama kuchek movie ili kupunguza kumuwaza.Onyo:Akijirudi usimuombe msamaha wala usimlalamikie kwa anayokufanyia pia ubadili mfumo wa mawasiliano yaani hadi akutafute yeye,asiporudi sio riski huyo kaa tulia,keep urself busy nenda ibadani kama huwa hauendi,Mungu atakupa akufaae kwa wakati,there is no right time in love.

akishindwa kuufanyia kazi ushauri huu basi ushauri utakao mfaa ni anywe sumu..
 
Kama ulisha shauriwa sana na watu husikii,unataka ushauri gan tena,kwan sisi ni malaika?sisi pia ni watu,ushauri mwngne,endelea kumpenda,hata yy anakupenda,ww unataka majibu marefu kwan unataka kuandika kitabu??
 
Mkuu unapendwa shikiria tu..hivyo visa vidogo vidogo,ww ongeza mapenz kwake
 
Ukimpenda akajua haachi kujishaua.......
 
Fanya yafuatayo, tafuta muda muongee vizuri. Whether it is face to face au kwa simu, usitake kuonekana huna hatia wakati WA maongezi yenu. Tatu, sikiliza kwa makini sana responses zake zitakujulisha tu kuwa Kuna future au lah!!
Nne, usije ukalazimisha penzi, utateseka sana. Tano, kama itabidi mtengane basi jitahidi sana mtengane kwa amani maana kwa kufanya hivyo utabaki na AMANI daima.

Mwisho, she will oneday come back to you, Nina experience katika hili, not once or twice na kama atarudi hakikisha you don't give her another chance maana somewhere someday atakuumiza tena.

Hakikisha unamweleza kuwa unamweleza ukweli na kumuonyesha kuwa umeumia na kwamba utaumizwa zaidi na kutengana kwenu.

Usitafute huruma toka kwake but elezea hio scenario na conclusion yako. Be firm to the end. Pole Mpwa
 
Back
Top Bottom