Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,160
Nimekuwa nikifanya informal research online (taking facebook, jf and teentz as my cases ) I used a random sampling method na tanzania ndo hasa ilikuwa my focus.
Kweli kabisa of atleast 100 Tanzanian men I met online na tukawa friends (kaka na dada) only 10% of these men were free to state that they were in a relationship though hawakusita kupiga mzinga as ussual. Nilitumia facebook IDs tofauti kutuma friend request na kuwa na urafiki wa kuchat kwa wanaume ambao nilijua kabisa wana uhusiano but still when it came kwenye kuuliza haya na yale walisema wako single and so they proposed tuwe wapenzi...
Mwingine ilienda hadi tukaonana live just for a friendly chat, nkamfahamu kwa kiasi flani but still alisisitiza yuko single...cku moja bajaji man niliyekuwa nimezoea kumchukua anipeleke kwa huyu jamaa pindi tutembeleanapo akajikuta akiropoka kuhusu huyu demu wa jamaa . Kumbe alikuwa ananialika kwake for a dinner or whatever wakati mpenzi wake hayupo, all these alifanya kumaintain uongo wake hata kwa mtu ambae hakuwa interested kuwa inlove na yeye.
Back kwenye hoja ya msingi...ni kwanini watu hasa online wengi wao wamekuwa wakisema uongo? niko single while i am not......ni kwamba watanzania tumeamua kuukubali uongo uwe sehemu ya maisha yetu? au vitu vya online tunavichukulia kiutani utani tu hata pale ambapo una interact na mtu ambae ni wa heshima na anajiheshimu>?? Najua uongo ni everywhere but hapa case yetu ni online....
I remain solely down-to-earth for any criticism
Karibuni kwa mjadala,