Jibu la I AM SINGLE

Jibu la I AM SINGLE

ni kweli kabisa wanaume ni ngumu kuweka their tru relationship status zao. Me niko simgle for now ila my fb status ni inrelationship. Simply sitak maswal meng frndz wakiona nimechange waanze maswal
 
We Tanzanians and some of the Africans especially those who live in Africa bado tuna explore technology , mpaka pale tutakakapoanza kuichukulia serious kama wenzetu.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Napendekeza your next research iwe kwenye hili suala.

Nitajitahidi nifanye lakini inrelation to HIV persistance, watu wanadanganyika wanadandiana matokeao yake wanabaki wanajuta,
 
Hii ndo mnaita swanglish ama??
Huwa nashindwa kabisa kusoma na kumaliza habari yenye lugha inapochanganywa namna hii.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Sasa unadanganya ili uwe nao 100?wa nini hao wote?

elewa mada wewe! Huyu dada ndiyo alidanganywa ktk tafiti yake.
Bra-joe wewe ndio hujamwelewa Zion Daughter

Haya mambo ya kudanganya relationship status yamepitwa na wakati, mwambie mtu ukweli kama ni mkware mwenzio atakukubalia tu. Kuna watu hawajali whether wewe una mtu au huna as long as anajua anachofuata kwako. Sio kudanganya na kuanza kuumiza watu wasio na hatia.

Tubadilike jamani.
 
Last edited by a moderator:
Ni kama tunaishi kiuongo vilee... Afu mwisho wa siku ikigundulika mtu yupo dabo, ndo zinazuka sredi kibao za kuumizwa!
 
Bra-joe wewe ndio hujamwelewa Zion Daughter

Haya mambo ya kudanganya relationship status yamepitwa na wakati, mwambie mtu ukweli kama ni mkware mwenzio atakukubalia tu. Kuna watu hawajali whether wewe una mtu au huna as long as anajua anachofuata kwako. Sio kudanganya na kuanza kuumiza watu wasio na hatia.

Tubadilike jamani.

Thank you very much.I like you.
 
Na wale wanaosema ni "complicated" wawekwe kundi gani?

“It’s complicated" inaweza kuwa na maana kuwa “something is going on, but I don’t want to say what it is”

Inaweza pia kuwa na maana kuwa “something is going on, but I don’t know what it is” lol.

Halafu kama ni complicated, inakuwa complicated for my own benefit, for my friends, or for the persons involved in said complicated state of affairs?
yaani deciding btn many!
 
Kuna tafti zingine haziwezi kutusaidia ktk maisha, haina haja ya kufanya utafiti kama huu wakati una majibu tangiapo, fanya tafti za kibiashara, ili mwisho wa siku tupate vitu vipya, watu wanapoteza muda mwingi ktk maisha ya uhusiano, everyday your dreaming, wen will yo achieve yo drm? Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza............................................................................................................................ Tusipoteze muda mwingi ktk maeneo yasiyo na vipawa mbele in our life...
 
Nimekuwa nikifanya informal research online (taking facebook, jf and teentz as my cases ) I used a random sampling method na tanzania ndo hasa ilikuwa my focus.
Kweli kabisa of atleast 100 Tanzanian men I met online na tukawa friends (kaka na dada) only 10% of these men were free to state that they were in a relationship though hawakusita kupiga mzinga as ussual. Nilitumia facebook IDs tofauti kutuma friend request na kuwa na urafiki wa kuchat kwa wanaume ambao nilijua kabisa wana uhusiano but still when it came kwenye kuuliza haya na yale walisema wako single and so they proposed tuwe wapenzi...

Mwingine ilienda hadi tukaonana live just for a friendly chat, nkamfahamu kwa kiasi flani but still alisisitiza yuko single...cku moja bajaji man niliyekuwa nimezoea kumchukua anipeleke kwa huyu jamaa pindi tutembeleanapo akajikuta akiropoka kuhusu huyu demu wa jamaa . Kumbe alikuwa ananialika kwake for a dinner or whatever wakati mpenzi wake hayupo, all these alifanya kumaintain uongo wake hata kwa mtu ambae hakuwa interested kuwa inlove na yeye.

Back kwenye hoja ya msingi...ni kwanini watu hasa online wengi wao wamekuwa wakisema uongo? niko single while i am not......ni kwamba watanzania tumeamua kuukubali uongo uwe sehemu ya maisha yetu? au vitu vya online tunavichukulia kiutani utani tu hata pale ambapo una interact na mtu ambae ni wa heshima na anajiheshimu>?? Najua uongo ni everywhere but hapa case yetu ni online....

I remain solely down-to-earth for any criticism

Karibuni kwa mjadala,

Wengi hawajui nini wanakitaka kwenye mapenzi, hata hawajui jinsi ya kupata, hata hawajui nini hakipatikani, hata pia hawajui gharama za kupata wanachokitaka............. believe me!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom