jf_sports hewan.......Pendekeza Majina yatakayounda_ Jf FC..

hapa kinacho takiwa ni refa kuwa fea. tukiangukiana asipige kipenga. mfano mimi Amyner akiniangukia, amuache juu yangu hadi atakapo amua kuamuka mwenyewe. mia

hiyo sidhani kama itakuwa fair na hapo lazima utakuwa umemwangusha kusudi tu ili umbambie..
 
Last edited by a moderator:
Mie naomba nafasi ya urefa, mechi ikituzidia napiga maombi kama Ms Judith!
Ooh halleluia!
 
Mi naomba nafasi kwenye bench afu niwe naingia kipindi cha pili wakati imebakia dakika kama 2 mpira kuisha maana mh afya yangu nikicheza dakika 90 nitakufa na heart attack
 
Lol, kama mwalimu hajui luga mimi mwanafunzi unategemea nitaijua vizuri kweli mkuu.
kabila langu ni kopi rait na lako.

Samahani mama mkwe,
kabila lako tafadhali maana naona umepaniki mpaka unaongea kilugha chenu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…