jf_sports hewan.......Pendekeza Majina yatakayounda_ Jf FC..

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
sasa wakati Muafaka kuwa na Jf fc...kwa kuanza Napendekeza Golikipa>Madame X,
Msaidizi>Madame B.
Pendekezeni first eleven..
1.Madame X
2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10.
11
Tukipata Kikosi hapa Mechi ya kwanza ni kucheza na wabunge Dodoma.
Twende kazi.
 
Wera weraaa!
madame X anaudhuru kaniambia.
hvyo nakaimu nafasi yake.
Me golikipa,
tena nitavaa zile jezi za tatoo,hadi raha.
 
Last edited by a moderator:
vipi timu ya twiga star(wanawake) au wanaume. mi naona hii itakua timu mchanganyiko. Mimi ni namba 9 ntakabana na Amyner. Mia
 
Last edited by a moderator:
my hubby Asprin....

'..............when your enemies makes mistakes don't interrupt them...................'

attachment.php
 
wadau wote wapo kwenye birthday part ya Eric,watu wameanza kulewa kabla ya part kuanza,
 
sasa wakati Muafaka kuwa na Jf fc...kwa kuanza Napendekeza Golikipa>Madame X,
Msaidizi>Madame B.
Pendekezeni first eleven..
1.Madame X
2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10.
11
Tukipata Kikosi hapa Mechi ya kwanza ni kucheza na wabunge Dodoma.
Twende kazi.
Siamini kama mtamnyima namba CUTE wangu, amejindaa vilivyo.
images_logo_sm.gif
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom