Jf_shoe shiner.....

Mtoa mada plse kesho fika pale ofisi za Precision Air , waone vijana wangu, uliza Isaac mpe habari zako then atakupatia maelezo namna ya utaratibu wa utakavyokua unaenda kuchukua viatu hapo.
Nitakua navituma kwa flight !
Be honestly kijana!
 
Nimeshafika hapa mbona hawakufahamu.
 
jg umenchekeshaje et invisible, au kenda 540 huyo!

Nahisi amemix marumba afu hujambo wewe a bride to be ? Mnuso lini ? UchumbaUchumba hadi lini ?
Wakati mnapeleka pwani malabrikanti mdogo'mdogo !
Afu mwambie Fiance wako akitaja mambo ya pekupeku ata'disturb saikolojia zetu! Itatupeleka kwenye ku'hhammm! Ahkh!
 
wazeiyaa nilikuwa busy kidogo...nilikuwa nashona buti za wale wanao gad bondary huko..
 
Judgement hata kuvaa viatu nalo lina maana nyingi, nilijua hivyo ndo maana nikajibu hivyo, thanks kwa kugundua hilo
 
Last edited by a moderator:
Umenisumbua sana...hata hawakufahamu pale...

Kijana!
Kijana !
Ohoo!
Plse beg me apology ! Don tell me such a thing in from of pipo!
Unavijua vya idadi ya vi'degree vyangu ?
Nenkya nimgambire profesor Tibaijuka akugambire my profile !
 
Kijana!
Kijana !
Ohoo!
Plse beg me apology ! Don tell me such a thing in from of pipo!
Unavijua vya idadi ya vi'degree vyangu ?
Nenkya nimgambire profesor Tibaijuka akugambire my profile !

Umepita kijiwen kwangu kwa mkwara kumbe hamna kitu.....
 
Back
Top Bottom