Jf_shoe shiner.....

Jf_shoe shiner.....

Nimefungua kijiwe jamani cha....
>kung'arisha viatu.
>kushona viatu.
>kushöna Ndara,
>kushona viatu vya kike na kiume,
>Natoa ushauri jinsi ya kununua kiatu kizuri cha mkeo.
>Pia napima viuno vya wamama,hips,paja kwa Tsh 500.
Karibuni sana......punguzo kwa wanajf..

zubedayo, wewe useme tu kuwa unahamu ya kutomasatomasa maungo ya wake zetu kwa bei chee ya jero jero.
Simleti mke wangu hadi nithibitishe kuwa wewe ni Kamuzu Banda
 
Last edited by a moderator:
zubedayo, wewe useme tu kuwa unahamu ya kutomasatomasa maungo ya wake zetu kwa bei chee ya jero jero.
Simleti mke wangu hadi nithibitishe kuwa wewe ni Kamuzu Banda

Yupo my wife atakuwa anawapima si mimi,mi nashugulika na tiba ya viatu.
 
Last edited by a moderator:
Mi na arabela ni kama mizizi na Ardh,soksi na kiatu,samaki na maji...macho na nyusi...uji na mfungo...

Nakemea pepo chafu la utapeli wa mapenzi, naviamuru viungo dume viwe ndembendembe ili tukio lisitukie.
Maana soon tutasikia kwenye MMU mkilia 'mpenzi wangu wa JF ameniacha baada ya kunjunji mara moja tu, sijui sijamridhisha, naombeni msaada wenu'
 
Back
Top Bottom