Kingdom_man
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 405
- 463
Hatimaye BBC wamerusha maafa ya mafuriko ya Dar kwenye website yao, cha kusikitisha tu haijawa BREAKING NEWS wakati ni maafa makubwa 🙁 Ila all in all inaonesha wadau wa BBC wanatembelea JF mana kwenye hiyo picha hapo chini kulia wameandika walipo itoa hiyo picha/link
BBC News - Tanzania floods: Heavy rains inundate Dar es Salaam