JF yamepewa promo na BBC

Good press for JF no doubt, lakini.

JF ndiyo ilipiga picha?

Ninavyojua mimi attribution ya picha ni kwa mpigapicha au shirika lilomuajiri mpiga picha, sasa isije kuwa BBC wamekwapua picha online bila makubaliano na yeyote, wakaogopa kuiweka kwenye site yao bila ku attribute source, wakachagua njia rahisi kuweka nembo ya "JamiiForums"

BBC wamepata ruhusa kutumia picha? Mpigapicha nani?

kuna watu wanaongoza kwa kukwapua snap mtandaoni kama wanajf hapo ndio itakapo leta shida kama wakisema wakomae..
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom