Mkuu vipi aisee nimefarijika kukuona maana ww ni kama nabii una maono sana 😁😁Dah!
Bill shaka uyo mwenye sura nzito
ndo Katoka kunilima ban ya wiki 3 juzi Kati[emoji26]
Nahisigi pia wewe ni mmoja wa wafanyakazi wa JF. Wewe ndiye yupi hapo?Ngoja nipite tu kimya kimya
Nimefanyaje jamanNakadori wewe ❤️
Uogopi ban?Huyo mwenye raba nyeupe dah
nimefurahi kuona ukifurahi kwa kweliNimefanyaje jaman
......sema chochote bana kwa wenzio, ni siku yenu hii...Ngoja nipite tu kimya kimya
Nailazimisha furaha tuu daktarinimefurahi kuona ukifurahi kwa kweli
pole sana Mungu atakuponyaNailazimisha furaha tuu daktari
😂😂Uogopi ban?
Kwa hio hawa ndio wanatupiga ban?HONGERENI JF kutuonesha wafanyakazi wenuView attachment 2542268View attachment 2542269View attachment 2542270
Si kwel mkuuWadada warembo hayo mengine mtajua wenyewe huyo white kulia nimejaribu kuzoom sijamuona vizuri .. Twiga zote hizo wewe upo busy na ukuta...