Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,033
- 61,933
Namba twelve
Majina ya ajabu ajabu kumbe nyuma ya keyboard kuna hazina kama ya mjarumani.HONGERENI JF kutuonesha wafanyakazi wenuView attachment 2542268View attachment 2542269View attachment 2542270
Peace & Love km JamaicaSasa hapo imefata nn?
Ma mods wako haoHao warembo wako humu? Niwajue mwe
......sema chochote bana kwa wenzio, ni siku yenu hii...
Nahisigi pia ww ni mmoja wa wafanyakazi wa JF. ww ndiye yupi hapo?
Unamuwahi kwa maandishi Mkuu wote hapo wapo vizuri ukimwaga utapigwa ban for life...Wakwanza toka kushoto nimemuwahi wakuu
🤣🤣🤣🤣🤣umemuwai kufanyaje tenaWakwanza toka kushoto nimemuwahi wakuu
Pembeni ya Logo ya JamiiForums kuna Logo ya JamiiCheck, jukwaa la uhakiki wa taarifa mbalimbali mtandaoni. Rangi za kwenye logo hiyo zina maana zifuatazo:-Wako vyedi sana 😍😍😍
Alafu hiyo mistari mistari pembeni ya logo ya JF ni ya nini?
Pembeni ya Logo ya JamiiForums kuna Logo ya JamiiCheck, jukwaa la uhakiki wa taarifa mbalimbali mtandaoni. Rangi za kwenye logo hiyo zina maana zifuatazo:-Hizo rangi rangi pembeni ya logo🤔🤔🤔🤔
Ila wamependezaaaa.
Pembeni ya Logo ya JamiiForums kuna Logo ya JamiiCheck, jukwaa la uhakiki wa taarifa mbalimbali mtandaoni. Rangi za kwenye logo hiyo zina maana zifuatazo:-