Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,766
- 14,784
HONGERENI JF kutuonesha wafanyakazi wenu
---
Picha, Rangi nne (4) zitumikazo Jamii CheckModerator
Pembeni ya Logo ya JamiiForums kuna Logo ya JamiiCheck, jukwaa la uhakiki wa taarifa mbalimbali mtandaoni. Rangi za kwenye logo hiyo zina maana zifuatazo:
1. Njano - Taarifa mpya inayosubiri kuhakikiwa
2. Kijani - Taarifa imehakikiwa na kukutwa na ukweli yaani “Fact”
3. Nyekundu - Taarifa imehakikiwa na kukutwa ni uongo yaani “Fake”
4. Kijivu - Taarifa imehakikiwa na kukutwa ni Nadharia yaani “Myth”
---
Picha, Rangi nne (4) zitumikazo Jamii Check