Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Hahhaha hahaha hahaha, Erickb52 hapa umeua lol!Pia katika kutafuta ukweli mwana JF wetu Cantalisia alikitolea kumpa klorokwini tamtam ili aone ukweli na klorokwini aliishia kuchekacheka badala ya kufanya kazi lol
Hahha hahha ahahh,Dah! nashauri gazeti lifungiwe kwa muda. khaaaa!
TANMO swaiba unajua kbs mie na mme wangu Rejao wala hatuhusiki na uondokaji wa MphamvuSwaiba swaiba, naona umeamua kunichafulia Siivii yangu.. Kwanza wewe na Rejao sijui mmemfanyia nini Mphamvu mpaka kaamua kubwaga manyanga..
Aisey! Kongosho pls haijapita wiki tumetoka kuuza banga letu la urithi, so far sina wenga kuhusu rare ! Jana nilikua na kikao na wanasheria wangu wafanye mchakato nataka kuinunua Jamii forum, Na Husninyo mara baada ya kupata fununu nataka kuinunua Jf, kanipigia akitaka turejeshe Ndoa, sijampa jibu.
Erickb52
Kongosho
BAGAH
Nicas Mtei
Nafikiria kuwapa u'MODS , ikiwa nitainunua Jf.
Hahha hahha hahah, BAGAH,habari za kuaminika zinasema nitaambana na mume wangu kipenzi papa Rejao... Cantalisia kuiwakilisha JF BIG BRAZA mwaka huu...je nani ataambatana nae?
Hahahahaaa hujambo Cantalisia?Hahhaha hahaha hahaha, Erickb52 hapa umeua lol!
Sijambo kbs Shem wangu Erickb52,Amy hajambo?Hahahahaaa hujambo Cantalisia?
Hahaha, klorokwini bana! Ole wako usingekanusha!sweetlady alilia penzi la lawyer (huu si udaku), I love u 2 sweetlady
Bora umekanusha honey!Inasemekana baada ya krolokwini kuona njama zake za kutaka kummendea mke wa nitonye ambaye ni sweetylady zimeshindikana, ameamua kumtumia Erickb52 kuanzisha propaganda kuvunja ndoa yao
Eti klorokwini, Mama Ashrat ni memba mpya au wa zamani? Tumia kipaji chako cha ulawyer kung'amua.Mkuu inabidi umuone fello tablet Asprin akuunganishe kwa Mama Ashrat lol
Khaaaaaa!Wana Chit-Chat naomba kuwahakikishia habari ninazozitoa kuhusu hili tukio na klorokwini na sweetlady pale guest house ya Sisi Kwa Sisi....
Mimi nikiwa kama mmiliki wa Glosary iliyo karibu na guest hiyo nilienda kuchukua daily bread ndipo nilipowaona wakitoka humo...Lol
Niliumia sana kuona nitonye kasalitiwa kiasi hicho
Swaiba Laiti ungelijua.. Tatizo Preta hataki kabisa kukubali mimi nijiweke pembeni. Mi nna Jimama langu huwa linanibemenda taratibu, sijui Mtu Chake anashindwa nini mpaka Preta ananing'ang'ania kiasi hiki.. Badala ya kuhangaika na mimi Nakushauri umshauri Mtu Chake ajichunguze. Lol