JF UDAKU September Edition......

JF UDAKU September Edition......

na wewe hivyo hivyo, unajifanya kutuongelea ki hitler hitler hapa, afu ukome kuniita mstaafu, (nimekumiss ila)
Mwenyekiti naomba nikushitakie kitu kwa muda mfupi ulipokuwa umejiuzulu Erickb52 amenikwaza nakuniudhi sana kwani alikuwa anang'anganiza kuniozesha kwa kizee kimoja kule chit chat anaitwa mzee ambayo imepelekea usumbufu mkubwa sana sana! Na mimi sitaki kuozwa mapema kwani nilipewa talaka 2 bado ya tatu.kwa sababu umerudi nimefurahi sana unisaidie kukomesha tabia hiyi japo naona umemweka huyo mzee kwenye kamati yako !!
 
Niliwashangaa waliokuwa wanamtnga mkono Erickb52 , yule ndo zake kuharibu hapo ukute alikuwa ameshakula pesa ya mzee akamuahidi kuwa lazima atakupata, wengi tu wameleta malalamiko kama yako, lakini maadam nipo hakijaharibika kitu. Erickb52 alikuwa anang'ang'ania cheo hiki ili akitumie kama dhamana ya matakwa yake... usijali now everything is under control...
 
Last edited by a moderator:
Unadhani nani hawezi, twende sasa
bayerm muchen deustche welle... kwingine ngoja nimuite watu8 hahaha ha haaa....

Hahah huyu Nivea ni muhamiaji haramu na kajificha huku Chit chat...si unaona anaandika Kisomali :becky:
 
Last edited by a moderator:
Niliwashangaa waliokuwa wanamtnga mkono Erickb52 , yule ndo zake kuharibu hapo ukute alikuwa ameshakula pesa ya mzee akamuahidi kuwa lazima atakupata, wengi tu wameleta malalamiko kama yako, lakini maadam nipo hakijaharibika kitu. Erickb52 alikuwa anang'ang'ania cheo hiki ili akitumie kama dhamana ya matakwa yake... usijali now everything is under control...
asante mwenyekiti asante sana ,mimi bado mtoto mdogo sana kuozwa kwa Mzee ,yeye ujana alilia wapi msuli aje kuvalia kwangu !
CC: Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Nakupenda pia mke wangu!
Twende tukaoge tujiandae kwenda kazini love

Mkuu mimi nilikuwa nashangaa tu muda ulioandika post hii 07:13, nikaondoa hiyo : ikabaki 0713 nikakumbuka zile namba za tiGo.
 
asante mwenyekiti asante sana
Katika hili mwenyekiti hana msaada wa aina yoyote. Kaka ameamua uolewe. Lazima iwe hivyo.

mimi bado mtoto mdogo sana kuozwa kwa Mzee
Huo udogo wako umeupima vipi¡¿¡

Yeye ujana alilia wapi msuli aje kuvalia kwangu !
CC: Erickb52

Tatizo si kuvaa msuli. Njoo ule vitu vya Kizamani. Njoo ule vitu adimu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom