JF UDAKU September Edition......

JF UDAKU September Edition......

Sie wurden meine Liebe verloren, wie sind Sie dann, willkommen zurück Kaizer

Na wewe hivyo hivyo, unajifanya kutuongelea ki Hitler hitler hapa, afu ukome kuniita mstaafu, (Nimekumiss ila)
 
Last edited by a moderator:
Ni shwari chalii angu, hizo
picha wamenifowadia hata mimi, nimeshindwa kuamini visigino vyangu
aisee...!!

halafu wewe mwenyekiti unajua nimekutunzia siri yako kwa muda mrefu sana? sasa we nitibue tu ntamwambia Kaizer ! na ujue akija kujua atakupoteza kabisa katika uso wa dunia.
 
Last edited by a moderator:
hahaaa haaaa jameni nizibeni mudomo nitamlipua huyu Baba V. msijekunilaumu

Unajipanga kwa hujuma gani dhidi yangu!?, ukileta uzushi nitajibu mapigo kwa mifano na mapicha..
 
Last edited by a moderator:
hubby ujue watachonga sana juu yetu lakini sisi masikio tuyazibe na pamba

baby DEMBA usijali tupo pamoja, Baba V ndio mwenyekiti na huu ni udaku tu usikupe presha, ila hilo gazeti likitoka tunawaburuza mahakamani fidia Ibillion wafunge kabisa na ofisi
 
Last edited by a moderator:
Unajipanga kwa hujuma gani dhidi yangu!?, ukileta uzushi nitajibu mapigo kwa mifano na mapicha..

uzushi???????? hivi unavyo niibox kila siku nimuache Kaizer eti niwe first lady wa chit chat. nimekukataaa ndo unaleta chokochoko
 
Last edited by a moderator:
baby DEMBA usijali tupo pamoja, Baba V ndio mwenyekiti na huu ni udaku tu usikupe presha, ila hilo gazeti likitoka tunawaburuza mahakamani fidia Ibillion wafunge kabisa na ofisi

Mnatafuta pa kutajirikia eeh... ma ripota wetu wamejipanga vizuri..
 
Last edited by a moderator:
uzushi???????? hivi unavyo niibox kila siku nimuache Kaizer eti niwe first lady wa chit chat. nimekukataaa ndo unaleta chokochoko

He kyekyekyekyeeee....!!! wacha wee... hiyo lini tena!?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom