Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
teh teh...habari za udaku shurti kuwepo na tupicha lol
unapenda udaku lol!!!ngoja wako uwekwe hum......
utabaki mwenyewe kwenye tuku tuku yako
teh teh...habari za udaku shurti kuwepo na tupicha lol
Kaizer akiona hiyo picha naona atazirai lol!!!!Hii ndo umeniacha hoi kabisa... labda aje atupe ufafanuzi...
Naskia kaiga msemo wa Malila , "Nguruwe pita leo sina mkuki"..
Yani leo kulivyo na baridi this morning,ingekua amri yangu......
unapenda udaku lol!!!ngoja wako uwekwe hum......
utabaki mwenyewe kwenye tuku tuku yako
Kaizer akiona hiyo picha naona atazirai lol!!!!
Kaizer endelea kujipa moyo......hahahaa Heaven on earth mimi namwamini sana DEMBA.....najua hawezi fanya hiyo makitu,,,,,,,,mtoto mashallah yule kafundwa..
Chimbuvu hakatwi mtu chochote......Motema na ngai,bileko na mpasi